asanteMbaya zaidi hujui kuandika vizuri, hata kuanza na herufi kubwa tatizo.
mnaojua kuandika ndo mnatuibiaMbaya zaidi hujui kuandika vizuri, hata kuanza na herufi kubwa tatizo.
Binafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango yako:
Usidhani wanawake wa Dodoma na Dar ndio wanawake pekee, yaani unavyosema kilimo cha mbolea umetoa ruzuku kuna watu wanashida hata kilo 10, hawawezi kununua, njoo vijijini na mikoani uongee na wanawake wenzio, naamini utalia,
Mama usihangakie wigi Za wanawake wa mjini wanaopikia gesi, njoo uangalie wanawake wanaopikia kuni nyumbani na kutembeza mkaa mjini ila kwake anapikia kuni, nakwambia utalia,
Njoo uone wanawake wenye watoto 7, wadogo wadogo na wengine mgongoni harafu bei ya mafuta ya kura yapo juu utalia chakula wanachokula, chupuchupu dagaa wa maji, huku jina la mwenzio aliefariki likitajwa midomoni mwa watu, unaweza ukalia, ila subiri uone.
Siyo wanawake pekee 90% ya watanzania hawampendiBinafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango yako:
Usidhani wanawake wa Dodoma na Dar ndio wanawake pekee, yaani unavyosema kilimo cha mbolea umetoa ruzuku kuna watu wanashida hata kilo 10, hawawezi kununua, njoo vijijini na mikoani uongee na wanawake wenzio, naamini utalia,
Mama usihangakie wigi Za wanawake wa mjini wanaopikia gesi, njoo uangalie wanawake wanaopikia kuni nyumbani na kutembeza mkaa mjini ila kwake anapikia kuni, nakwambia utalia,
Njoo uone wanawake wenye watoto 7, wadogo wadogo na wengine mgongoni harafu bei ya mafuta ya kura yapo juu utalia chakula wanachokula, chupuchupu dagaa wa maji, huku jina la mwenzio aliefariki likitajwa midomoni mwa watu, unaweza ukalia, ila subiri uone.
Wenye akili mbovu watakuja kukupinga tu.Maana wanajifanya hawajui shida za wenzao,kazi yao Ni kusifia hata pasipo stahiliBinafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango yako:
Usidhani wanawake wa Dodoma na Dar ndio wanawake pekee, yaani unavyosema kilimo cha mbolea umetoa ruzuku kuna watu wanashida hata kilo 10, hawawezi kununua, njoo vijijini na mikoani uongee na wanawake wenzio, naamini utalia,
Mama usihangakie wigi Za wanawake wa mjini wanaopikia gesi, njoo uangalie wanawake wanaopikia kuni nyumbani na kutembeza mkaa mjini ila kwake anapikia kuni, nakwambia utalia,
Njoo uone wanawake wenye watoto 7, wadogo wadogo na wengine mgongoni harafu bei ya mafuta ya kura yapo juu utalia chakula wanachokula, chupuchupu dagaa wa maji, huku jina la mwenzio aliefariki likitajwa midomoni mwa watu, unaweza ukalia, ila subiri uone.
Mwanamama kaongeza nchi hii kwa mwaka na nusu tu tangu dunia iumbwe, atalaumiwaje kwa maisha duni ya wanawake? Hao wenye watoto 7, wadogo wadogo si wameamua wenyewe. Zamani kabla huduma za afya na chanyo kudumishwa, watu walikuwa wanazaa watoto wengi maana vifo vya watoto kutokana na surua na magonjwa wengine vilikuwa vingi. Siku hizi hakuna haja hiyo na huduma za uzazi wa mpango zipo.Binafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango yako:
Usidhani wanawake wa Dodoma na Dar ndio wanawake pekee, yaani unavyosema kilimo cha mbolea umetoa ruzuku kuna watu wanashida hata kilo 10, hawawezi kununua, njoo vijijini na mikoani uongee na wanawake wenzio, naamini utalia,
Mama usihangakie wigi Za wanawake wa mjini wanaopikia gesi, njoo uangalie wanawake wanaopikia kuni nyumbani na kutembeza mkaa mjini ila kwake anapikia kuni, nakwambia utalia,
Njoo uone wanawake wenye watoto 7, wadogo wadogo na wengine mgongoni harafu bei ya mafuta ya kura yapo juu utalia chakula wanachokula, chupuchupu dagaa wa maji, huku jina la mwenzio aliefariki likitajwa midomoni mwa watu, unaweza ukalia, ila subiri uone.
Duh! Yaani Samia kaingia juzi tu ndo wanawake wamezaa mara 7!!Binafsi sina chuki wala kinyongo, mh rais huku wananchi haswa wanawake hawakupendi na hawakutaki, maana maisha yao ni duni sana, hata kriniki kadi imekua hela, ila kama huamini endelea na mipango yako:
Usidhani wanawake wa Dodoma na Dar ndio wanawake pekee, yaani unavyosema kilimo cha mbolea umetoa ruzuku kuna watu wanashida hata kilo 10, hawawezi kununua, njoo vijijini na mikoani uongee na wanawake wenzio, naamini utalia,
Mama usihangakie wigi Za wanawake wa mjini wanaopikia gesi, njoo uangalie wanawake wanaopikia kuni nyumbani na kutembeza mkaa mjini ila kwake anapikia kuni, nakwambia utalia,
Njoo uone wanawake wenye watoto 7, wadogo wadogo na wengine mgongoni harafu bei ya mafuta ya kura yapo juu utalia chakula wanachokula, chupuchupu dagaa wa maji, huku jina la mwenzio aliefariki likitajwa midomoni mwa watu, unaweza ukalia, ila subiri uone.
Sawa. Haya ndo inasaidia nini sasaSiyo wanawake pekee 90% ya watanzania hawampendi
Huu kwetu tunaita mfumo dumeMwanamke anapaswa kukaa jikoni sio kuwa kiongozi wenye akili watanielewa.