Usidate na Hawa

Usidate na Hawa

Katika amri zote hizo nimenasa kwenye amri ya 9. Nimepita nao sana mpaka wake zao. Daah...! Ila mimi mwenyewe sipendi itokee hii kitu
 
Kwahiyo tutafute mabikra, tutawapata kweli eti...
 
1 Usidate na mfanyakazi mwenzako

2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri

3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela

4 Usidate na mteja wako

5Usidate na mwanafunzi

6 Usidate na single mothers

7 Usidate na Mwanamke maarufu

8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi

9 Usidate na Ex wa rafiki Yako

10 Usidate na wanawake wanaojipost hivyo

11 Usidate na jini mahaba
Mbona ss wote wameisha? Labda tu sema tupige puli!
 
Kuna single mother mmoja anataka nimuoe na mimi nimemkubalia baada ya kuifinyia kwa ndani ila akili zimenirudia sana nipeni mbinu za kupindua meza maana nilishaahidi hadi siku ya kutoa mahari kumbe zilikuwa ni genye tu,sasa hivi najutia
 
1 Usidate na mfanyakazi mwenzako

2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri

3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela

4 Usidate na mteja wako

5Usidate na mwanafunzi

6 Usidate na single mothers

7 Usidate na Mwanamke maarufu

8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi

9 Usidate na Ex wa rafiki Yako

10 Usidate na wanawake wanaojipost hivyo

11 Usidate na jini mahaba
Sitisha kudate na kumuacha pale pale mwanamke ambaye muwapo kitandani unamlala huku akichatishwa na mwanamme mwingine.
 
List ilitakiwa ianze hivi:
Hapana bro! Mpangaji mwenzako tena? Labda mke au mme wa mtu hapo sawa. Lakini umerudi home umechoka,af kidada jirani kinakwambia leo kimeandaa cha kutosha wawili usipike,kinakwambia kimekuandalia na maji moto utaoga kwake,tobaaa. Mwanaume tayari unaolewa. Sema tu kesho yake utaambiwa mnakula samaki toka Mwanza na wewe ndo unatakiwa utoe hela,masikini ya Mungu umebaki na elfu 1 ya dagaa
 
😅😅😅😅🖖🏾
 
1 Usidate na mfanyakazi mwenzako

2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri

3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela

4 Usidate na mteja wako

5Usidate na mwanafunzi

6 Usidate na single mothers

7 Usidate na Mwanamke maarufu

8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi

9 Usidate na Ex wa rafiki Yako

10 Usidate na wanawake wanaojipost hivyo

11 Usidate na jini mahaba
Usidate na mwanasiasa
 
Mimi nadate na mfanyakazi mwenzangu aisee mwanzo nilichukulia poa ila kwa sasa naona kama nimefungwa.
 
Mwenye tattoo..
Mwenye iPhone na Hana kazi
Kapanga chumba au nyumba Hana kazi wala biashara...
Anaefanya kazi massage parlour
Mwenye biashara haifanani na kipato chake...
Mwanamke dalali..
Anaependa pombe na Hana kipato cha uhakika...
Anaependa kwenda clubs na hata pesa ya kiingilio hana...
Anaefanya kazi guest..
..
 
usidate na
1.mwanamke alie ijuwa mitandao
yakijamii hasa jf kuanzia 2020 kushuka chini nahadi sasa yupo active bado huyó nimdangaji mbaya ukute pm bado ipowazi

2.sasa unakuta demu limejiunga jf tokea 2016 kushuka hadi sasa halijaolewa hilo nisawa naliteja lamadawa linajua kilaaina ya bange huwezi lishauri kuacha wala hulidanganyi likakubali
 
Back
Top Bottom