Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,689
- 7,136
Kama FaizaFoxyUsidate na mwanamke mwehu
Kama FaizaFoxyUsidate na mwanamke mwehu
Mambo yako hayo mjukuu wangu 😀😀😀👍🏾acha uchokozi
Kauli hii ni kichochezi cha USHOGA... sasa usizini na mwanamke ukazini na nani we nae?!Aziniye na mwanamke Hana AKILI.
NAKAZIA! 😂👍🏾🙌🏾Mmewasema vya kutosha, na sasa tena hamtaki tu-date nao. Sasa nani atawala?
Waacheni single mothers wooote waje kwangu. Nawapenda na kuwahusudu. 💕
Blenda Got A Baby.
-Kaveli-
Huku tukiwa tumewasha VPN tunatazama site maarufu huko majuu watasha wakifanya yao 🤩😍😋🤤👍🏾Mbona ss wote wameisha? Labda tu sema tupige puli!
M-ghost tu, hama unapoishi haraka... madalali wako active kama umemeKuna single mother mmoja anataka nimuoe na mimi nimemkubalia baada ya kuifinyia kwa ndani ila akili zimenirudia sana nipeni mbinu za kupindua meza maana nilishaahidi hadi siku ya kutoa mahari kumbe zilikuwa ni genye tu,sasa hivi najutia
Ilinikutaga miaka kenda! Anaapia viapo vyote kumbe ni chai, nilimvulia kofia alikuwaga ananidanganya mwezi mtukufu na anaapa na viapo baadae nikagunduaga alikuwa muongo. Dahh! Nilichoka 🙌🏾Usidate na mwanamke muongo muongo muongo ye kila kitu ni uongo alafu anakua na sura ya upole ujue ni shetan
Ulichukua maamuzi gan mkuuIlinikutaga miaka kenda! Anaapia viapo vyote kumbe ni chai, nilimvulia kofia alikuwaga ananidanganya mwezi mtukufu na anaapa na viapo baadae nikagunduaga alikuwa muongo. Dahh! Nilichoka 🙌🏾
Nikajifanya gentleman kumsamehe, hapo alishaanza mapepe na nikamshtukia na nikamsamehe.Ulichukua maamuzi gan mkuu
Kaburi tu haitoshi lazima nakuona video ya mazishi kma yeye marehemu ndiye kweli aliyezikwa ikiwezekana na makaburi ya pemben yatokee kwenye hio videojini mahaba ndo lipi hiloo mkuu?
single maza hawana shida ukishaona kaburi la mzazi mwenzake.
Ulimpiga chini au bado ukonae?Nikajifanya gentleman kumsamehe, hapo alishaanza mapepe na nikamshtukia na nikamsamehe.
Alikuja kunipigia tukio akawa analiwa na Houseboy! Ahh! Ilinichanganya sana!
Tangu hapo siaminigi wanawake
Kitambo sana! Unataka namba yake?!Ulimpiga chini au bado ukonae?
Ulifanya vizur kuachana nae, hao waongo ni wabaya sana siwakubaliKitambo sana! Unataka namba yake?!
Kama unataka kuosha ni jitihada zako tu unaosha fresh! Huongi wala nini... tena wewe ndo unahudumiwaUlifanya vizur kuachana nae, hao waongo ni wabaya sana siwakubali
Badili kichwa cha habari mkuu kisome "Usipende ku date na wafuatao"1 Usidate na mfanyakazi mwenzako
2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri
3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela
4 Usidate na mteja wako
5 Usidate na mwanafunzi
6 Usidate na single mothers
7 Usidate na Mwanamke maarufu
8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi
9 Usidate na Ex wa rafiki Yako
10 Usidate na wanawake wanaojipost hovyo
11 Usidate na jini mahaba