Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,993
- 8,341
Namba 5 umewaonea vijana wengi



Aisee sikuwahi fikiria hiiusidate na
1.mwanamke alie ijuwa mitandao
yakijamii hasa jf kuanzia 2020 kushuka chini nahadi sasa yupo active bado huyó nimdangaji mbaya ukute pm bado ipowazi
2.sasa unakuta demu limejiunga jf tokea 2016 kushuka hadi sasa halijaolewa hilo nisawa naliteja lamadawa linajua kilaaina ya bange huwezi lishauri kuacha wala hulidanganyi likakubali
Hahahaaa......Au sio unataka kutembelea nyota zao
sasa hapo tutakuwa tumewaonea kwa kweli. kaburi ndo leseni yao kwa sasa.Unaweza ona kaburi la mwanaume, kumbe alisingiziwa Mtoto.
Mpaka unaandika hivi..1 Usidate na mfanyakazi mwenzako
2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri
3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela
4 Usidate na mteja wako
5 Usidate na mwanafunzi
6 Usidate na single mothers
7 Usidate na Mwanamke maarufu
8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi
9 Usidate na Ex wa rafiki Yako
10 Usidate na wanawake wanaojipost hovyo
11 Usidate na jini mahaba
Kaamua kuungana na mama wema kumsema whozuacha uchokozi
Mhhh nilitaka kujichanganya hapa kumalizia lile neno 🤓🤓🤓🤓Mi sideti na HAWA na deti na HALIMA....
Inaonekana mmekutana na single mother vichaa waliovurugwa na waliopita but kuna wamama waastarabu sn tena wanajiheshimu ila ukimzingua atakachokufanyia unakuja jumlisha wote wabayaUsidate na Single mother
Na sisi mtuonyeshe makaburi ndio tukubalisasa hapo tutakuwa tumewaonea kwa kweli. kaburi ndo leseni yao kwa sasa.
ila ni jokes mkuu maana hawa wanawake akili zao wanazijua wenyewe wataanza kuua wazazi wenzao ili waonyeshe makaburi waolewe. ikiwemo mimi.
single father je?Usidate na Single mother
wanaume huwa hatuzingui kwaiyoo olewa tuu na singo dady. na umpende mtoto, Utanishukuru baadae.Na sisi mtuonyeshe makaburi ndio tukubali
Kunya anye Kuku ,akinya Bata kaharisha.
ndo maana ya sasa ya ubaya.Inaonekana mmekutana na single mother vichaa waliovurugwa na waliopita but kuna wamama waastarabu sn tena wanajiheshimu ila ukimzingua atakachokufanyia unakuja jumlisha wote wabaya
nimaoni tuuAisee sikuwahi fikiria hii
Kwahiyo nyie kuwa single father ni sawawanaume huwa hatuzingui kwaiyoo olewa tuu na singo dady. na umpende mtoto, Utanishukuru baadae.

Kuna single mother mmoja yaani.... Mpaka Mke wangu kamjua... Mpoleeee mstaarabuuu ana katoto kake ka kike... Yaaani nyieeeee.... Alipojua Nina ndoa alikasirikaaaa .... Wapo single mothers wanajiheshimu mnooo.... Kama huyu wangu..natamani kumfanya Mke kabisa ila ndio vile mi mkristo.. ndoa moja.Inaonekana mmekutana na single mother vichaa waliovurugwa na waliopita but kuna wamama waastarabu sn tena wanajiheshimu ila ukimzingua atakachokufanyia unakuja jumlisha wote wabaya
Date naye tuu...Usidate na Single mother
Bado hujasemaaDate naye tuu...