Usidate na Hawa

Usidate na Hawa

1 Usidate na mfanyakazi mwenzako

2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri

3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela

4 Usidate na mteja wako

5Usidate na mwanafunzi

6 Usidate na single mothers

7 Usidate na Mwanamke maarufu

8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi

9 Usidate na Ex wa rafiki Yako

10 Usidate na wanawake wanaojipost hivyo

11 Usidate na jini mahaba
Mbona wanawake wote wameisha sasaaa😔
 
1 Usidate na mfanyakazi mwenzako

2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri

3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela

4 Usidate na mteja wako

5Usidate na mwanafunzi

6 Usidate na single mothers

7 Usidate na Mwanamke maarufu

8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi

9 Usidate na Ex wa rafiki Yako

10 Usidate na wanawake wanaojipost hivyo

11 Usidate na jini mahaba
Tupe options za kudate sasa
 
Mmewasema vya kutosha, na sasa tena hamtaki tu-date nao. Sasa nani atawala?

Waacheni single mothers wooote waje kwangu. Nawapenda na kuwahusudu. 💕

Blenda Got A Baby.

-Kaveli-
 
Mkuu, namba 3 na 7 itakuwa ngumu kuacha.
 
Back
Top Bottom