Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
1. Kua Mchesi sana; Mtu Jokes na utani sio serious

2. Kua na Pumzi; Jogging & Swimming

3. Kua na Nguvu; kama wale 'MAKULI' wa Kariakoo Shimoni. Gunia la Viazi kilo 200 jamaa ana kilo 70 Kakomaa atoka nalo Mlimani City to Dance Club.

4. Pendelea Kuvaa Kiheshima. Nguo zisikubane kama wacheza dance ila vaa mabwanga Mbuyu uning'inie.

5. Pendelea sana kula vizuri Nyama Nyama (Protein kwa wingi) na kunywa vizuri hasa Pombe kali kwa kiasi. Mf. Kaschana tule piga tu nusu 100mls or Smart turabbit tule au Strong Beers i.e Safari Lager, Castle Milk Stout.

6. Kunywa Maji Mengi before & after usituletee Breaking News.

7. Usingizi ni muhimu.
 
kuna mengine ya hivyo yanakuwa masumbufu kwelikweli,ukiyatanua kidogo tu yanalalamika unayaumiza
Ewaaaaaaaa agiza kinywaji duka lolote la jirani kaka. Umejuaje? Kabisaaaaaaa 90% mavivu sana

Kuna mengine hayataki doggy yanataka kifo cha mende tu, niliwahi kumtimua mtu one day, nilim block na makofi juu,,yanakera sana mengine

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom