Usichokijua ni kuwa Kigali ni mji msafi kuliko Berlin na ni salama kuliko Vienna ya Austria.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,248
6,501
Habari wadau.

Nimestaajabu kusikia mji mkuu wa Rwanda Kigali ni msafi kuliko mji mkuu wa Ujerumani Berlin pia ni salama zaidi kuliko mji mkuu wa Austria Vienna. Hili limedhibitishwa na jopo la watafiti kutoka Ulaya wakiwa wabobezi ktk sayansi na mazingira.

Mods naomba msihamishie Uzi huu ktk jukwaa mnalofikiria kunafaa. Acheni humu humu wanasiasa wetu wajifunze Africa hakuna kisichowezekana. Wanasiasa hawa waranda sana humu kuliko huko mtakapouhamishia. Asante.

Source: Magazeti ya Ujerumani kuhusu Africa.
 
Ninavyojua mimi iko hivi.

Kwa mfano Ukisikia takwimu zinasema Buguruni ubakaji ni 98% na Kigogo 0.1% hiyo inamaanisha Buguruni tukio likitokea linafikishwa kwenye vyombo husika, linachukuliwa hatua na dunia itajua ndiyo maana hata takwimu zinapatikana.
 
usafi Ni kweli wako juu hata usalama.wanajeshi ndio wanaolinda mjini Na niliambiwa Ni nchi nzima hakuna vibaka labda wale wez wa mfukon Na zaid Ni kwenye msongamano.Jambaz akitokea huyo anakitafuta kifo
 
Habari wadau.

Nimestaajabu kusikia mji mkuu wa Rwanda Kigali ni msafi kuliko mji mkuu wa Ujerumani Berlin pia ni salama zaidi kuliko mji mkuu wa Austria Vienna. Hili limedhibitishwa na jopo la watafiti kutoka Ulaya wakiwa wabobezi ktk sayansi na mazingira.

Mods naomba msihamishie Uzi huu ktk jukwaa mnalofikiria kunafaa. Acheni humu humu wanasiasa wetu wajifunze Africa hakuna kisichowezekana. Wanasiasa hawa waranda sana humu kuliko huko mtakapouhamishia. Asante.

Source: Magazeti ya Ujerumani kuhusu Africa.
Mods toeni upuuzi huu..Chigali ni mji maskini sana na hata usafi haufikii Moshi..usioende kufananisha vimiji vya kipuuzi na miji ya kidunia. Shwain wewe
 
usafi Ni kweli wako juu hata usalama.wanajeshi ndio wanaolinda mjini Na niliambiwa Ni nchi nzima hakuna vibaka labda wale wez wa mfukon Na zaid Ni kwenye msongamano.Jambaz akitokea huyo anakitafuta kifo
Nilisikiaga hili
 
Kagàme ni kiongozi Bora Afrika na duniani kote
Hongera kagàme ...!! Uishi milele
 
Back
Top Bottom