Usichokijua kuhusu filamu ya The God Father

Sina nia ya kuweka mustakabali wangu kwa wanasiasa ambao kitu kikubwa wanachoweza ni kuwarubuni wapiga kura,_Mzee
 
Familia ni nyingi mku, Mario Puzo ametumia lugha ya picha kuwajumuisha mamafia wengi hasa kipindi cha Banana War.
Mfano mzuri tu misemo mingi ya Vito wameichukua kwa bwan Gravano ambao ni bosi (marafiki)wa familia ya Gambino.
Tabia za fujo fujo zote ni za familia ya wakina Colombo.
Lakini mishe mishe zote za Vito Corleone ni za bwana Frank Castello rafiki wa familia ya Luciano.
F.B.I wanasema hakuna Judge wa New York aliyechaguliwa bila idhini ya bwana Castello wakampa jina Prime Minister.

Familia ya Colombo na Gambino siyo sana kwasababu walikuwa ni wauza unga na vitu vingine.
Vito Corleone ( Frank Castello) rafiki au bosi wa familia ya Luciano alikuwa hapendi kabisa biashara ya madawa ya kulevya.
Yeye ilikuwa ni kamali tu kama walivyofanya kwenye filamu.
Frank Costello aka "the prime minister of the mob" alikuwa ni underboss wa familia ya kimafia ya Luciano iliyokuwa chini ya Lucky Luciano. Baada ya Luciano kuwa deported kwenda Italy akamteua Vito Genovese kuwa boss na Costello akaendelea kuwa underboss. Baada Luciano kushindwa juhudi zake za kurudi US jina la familia likabadilika na kuitwa Genovese crime family. Vito Genovese naye akawa na msala ikabidi akimbile Italy ndipo Costello akachukua hatamu za Genovese Crime family mpaka Genovese aliporudi.
 
Kumbuka Vincent Corleone, the illegitimate son of Sony Corleone ndio alimrithi Michael na akawa Don
So people are interested to know how he was able to protect the Corleone family after the death of Michael
Mtoto wa Michael hakuwa na interest yoyote na his father's organization
Yule binti yake ndio huyo aliuwawa

Nyang'au Vince?
Ngoja tuone shughuli yake aiseee.
 
Mkuu Al Capone alikuwa kwenye The Scarface na ni muuza unga.
Vito Corleone ni Frank Castello ambaye alikuwa hapendi kabisa biashara ya unga.
Vito Corleone kama Frank Castello alikuwa amewanunua wanasiasa kibao Marekani.
Vito Corleone kama Frank Castello alianzisha vita kwenye familia za kimafia.
Vito Corelone kama Frank Castello alikuwa ana akali na anapenda kutumia diplomasia.
Vito Corleone kama Frank Castello alipgwa risasi hadharani lakini akapona.
F.B.I wanasema alikuwa na familia ndogo lakini ina ushawishi mkubwa balaa.
Mkuu nina uhakika una maana Al Pacino na sio Capone. Al Capone hakuwa actor bali alikuwa mkuu wa genge la kihalifu la Chicago maarufu ka "the outfit".
 
Frank Costello aka "the prime minister of the mob" alikuwa ni underboss wa familia ya kimafia ya Luciano iliyokuwa chini ya Lucky Luciano. Baada ya Luciano kuwa deported kwenda Italy akamteua Vito Genovese kuwa boss na Costello akaendelea kuwa underboss. Baada Luciano kushindwa juhudi zake za kurudi US jina la familia likabadilika na kuitwa Genovese crime family. Vito Genovese naye akawa na msala ikabidi akimbile Italy ndipo Costello akachukua hatamu za Genovese Crime family mpaka Genovese aliporudi.

Mkuu kuna kipindi Vito Genoves alidakwa na serikali ya Italy kwasababu alihisika na wanajeshi wa Marekani kwenye vita ya pili ya dunia. Lakini naskia kesi ilifungwa kwasababu hakuna shahidi aliyepona na wanahistoria wengi wanasema Genovese alipotaka kurudi U.S.A na kuchukua biashara waliingia kwenye mgogoro mbaya sana na Castello hadi akatuma madereva wampige shaba ya kichwa lakini akapona.
Castello alikuja kuwaboa mamafia kwasababu wakati bunge la Marekani limeamua kuwashughulikia mamafia nchini Marekani alienda mahakamani akakiri makosa na kutoa siri nyingi za familia. Baada ya kuona amezidiwa na Vito Genovese akaamuaa tu kufanya amani. Na kwenye filamu wanaonyesha zile familia zimekutana na kufanya mkataba baada ya Banana War. Yule alikuwa ni Castello na Genovese na mambo waliyamaliza pale pale hadi Castello anapatwa na kifo miaka ya 70's.
 
Sasa sijui kipindi hiki atawazungumzia wakina nani?
Miaka ya nyuma walisema Di Carprio anaweza akawekwa kwenye filamu ya nne sijajua kama bado wana huo mpango.

Ndio maana watu wampempiga pressure Francis Copolla atengeneze Godfather part 4
Kama ataiandika kwa mazingira ya Sasa atapwaya sana. Labda airudishe kwenye mazingira yale yale...na sijui ataongelea nini!!
 
vipi wewe man? ipi unaona kuliko zote?

Bro ni ngumu sana kwasababu nina filamu kibao kichwani lakini top zangu ni hizi.

1.The Good, The Bad and The Ugly (The best aisee)
2. Hateful Eight
3. American Gangster
4. The Fugitive
5. Man on fire
6. The Roots.
7. Coming to America.
8. The Inglorious Basterds.
9. Legend
10. Wolf of Wallstreet
 
Back
Top Bottom