Usichokijua kuhusu filamu ya The God Father

WHO EVER COMES TO YOU WITH THIS BARZINI MEETING HE IS A TRAITOR, DON'T FORGET THAT.
what a good daddy he was.
Halafu kwenye movie ya Zootopia kuna Don Corleone mle utacheka hadi ufe.
Dah huyu Corleone wa Zootopia kamshinda hata Vito Corleone mwenyewe

Walinzi wake ni Dubu sijui wamemzidi ukubwa mara Mia halafu sijui wanachukua vipi orders kwake yaani kumtii ,nimeamini size ya mwili hai determine kuwa Mafian Boss ..."whats up with the costumes? What are u a performer ? " ... hapo janjaro Nick Wilde anahara tu maana anajua mziki wa Corleone kwa kumuuzia Skunk butt rug
 
Yule Mini-Corleone ni hatari sanaaa!
 
Ha ha ha,,unamsema Mr Big sio
 
Fanya hivyo mkuu.
Japo nina ENCYCLOPEDIA OF MAFIA ya Carl Sifakis ina makundi mengi ya Mafia duniani,
Kuanzia Yakuza Mob Japan, Bratva Urusi na Sicilian Mob.
Wote hawa wameelezewa kwa undani hadi maisha yao binafsi sema sasa hapa Jamiiforums unaweza kutuma kitabu mwisho Mb : Hichi changu kina kama MB 32 hivi.
Mkuu naweza kukipata kupitia email
 
Back
Top Bottom