Usicheke sana plz

Usicheke sana plz

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Mtaliano mmoja baada ya kulala na demu, akampa dola feki. Baadaye akamcall, akamwambia "the doler I gave u is fekelo". Demu akamjibu "the HIV that I gave u is orginelo".
 
Mtoto mtundu aliulizwa na mwalimu wake wa hesabu: "ukiwa na machungwa matano, mtu akakupokonya moja, utabaki na nini?"
Mtoto akajibu "nitabaki na hasira"
 
Mchezo wa pool table huchezwa vipira vikaingia ndani fimbo ikabakia nje. Je ni mchezo gani ambao fimbo huingia ndani na vipira vikabakia nje?
 
Mtaliano mmoja baada ya kulala na demu, akampa dola feki. Baadaye akamcall, akamwambia "the doler I gave u is fekelo". Demu akamjibu "the HIV that I gave u is orginelo".

sasa hapo alopata hasara ni yupi?alotoa dola bandia au alopewa hiv original?
 
Siku moja mume alichukuwa cheti cha ndoa na kukiangalia sana. Mke wake akamuuliza: "mume wangu leo umekumbuka siku ya ndoa yetu"
Mume akamjibu: "natafuta expire date ila siioni"
 
...Bila shaka utakuwa DARTS. Au nimekosea?

Umejitahidi ila hukuwa muwazi, coz kizungu hatukijuwi.
Maelezo ya ziada: Ni mchezo usiyo na refa wala shuhuda. Ktk mwangaza unachezeka pia ktk giza unanoga.
 
ha ha ha ha ha ha ha ah ha ah ah aha ha hahaa hha muosha huoshwa
 
Mchezo wa pool table huchezwa vipira vikaingia ndani fimbo ikabakia nje. Je ni mchezo gani ambao fimbo huingia ndani na vipira vikabakia nje?
ehehe....vipira vingapi vinabaki nje??
 
Watu wawili walikuwa wanakimbili treni, mmoja akaifika na kudandia. Aliyeikosa akabaki anacheka saaaana. Watu wakamuuliza "mbona mwenzako kaipata halafu ww unamcheka?"
Akawajibu "Inanibidi nimcheke, eti mm mwenye safari nimeikosa, yy anayenisindikiza kadandia na tiketi ninayo mwenyewe"
 
Kuku dume anamfukuza kuku jike huku rohoni
anasema: "nikimpata leo huyu ataipata pata na nikimkosa nitazuga nafanya mazoezi".
Na kuku jike anakimbia huku anajisemea "hapa nijikaze mana nikisimama nitaonekana malaya, na akinikosa nitalala ny*g*, dah! sijuwi hata nifanyeje".
 
Back
Top Bottom