Usicheke sana plz

Usicheke sana plz

hili lilikua jibu sahihi manake hakumuuliza tabaki na machungwa mangapi!
 
Mtaliano mmoja baada ya kulala na demu, akampa dola feki. Baadaye akamcall, akamwambia "the doler I gave u is fekelo". Demu akamjibu "the HIV that I gave u is orginelo".

Hii ishakuwepo hapa jamvini siku za nyuma
 
Umejitahidi ila hukuwa muwazi, coz kizungu hatukijuwi.
Maelezo ya ziada: Ni mchezo usiyo na refa wala shuhuda. Ktk mwangaza unachezeka pia ktk giza unanoga.[/QUOTE]

Yaani unafafanua namna hiyo unafikiri watu hawajaelewa?Nionavyo, watu wengi humu hawapendi utani unaohusisha mambo ya ngono
 
Back
Top Bottom