Nimejikuta najiuliza..kulikoni mawazo kama haya ninayosoma?
Kweli mawazo ni mengi..na hubadilika kila mara.....
Mimi hadi sasa nawaza kwanini hayo hapo juu yametawala fikra za watu?
Toka maelezo yako nime notice she means a lot to you... ila you are treating her kama vile hana huelewa (sorry to say this...) Mtu unae mdate the way mta treatiana mwanzo mwa relation ship it hase always it be constant, ndo maana too much exaggeration mwanzoni mwa mapenzi hupelekea tensiion katika mahusiano mapema. Njiwa talk to her Man... find time, she has to know and try to understand when you are busy and that you have a demanding job... For kazi unayofanya (nimenotice ni Doc, tena katika delicate cases...) inahitaji mwanamke anaejua any time and any moment you can leave her as a result of emergencies....
Hata hivyo i am hoping it works out.... Best of Luck Pal.....
Da Asha! ni kweli she is my potential wifey & she means everything kwangu .. the thing is distance love! ni ngumu kui maintain ... nakumbuka back to medical school one of my prof. nilikutana naye wall mart akiwa na hubby wake akanikaribisha chakula cha mchana .. katika kuongea tukaishia kwenye isue nzima ya distance love! akaniambia kwamba distance love yataka uwaminifu na maelewano kati ya watu wawili ... na kama tukija kuoana basi it will Add a special flava katika maisha yetu ya ndoa..
back kwa huyu Generator ya moyo wangu! si kweli kwamba na mtreat as if hana uelewa! la hasha! nipo makini bcz kabla ya yeye (it was a distance love miaka kenda iliyopita ) i was a Victim of circumstances .. nipo makini juu yake sitaki zile circumstances zitokee tena!
kuhusu kuongea naye nimeshamwambia now aim doing my residency 2nd year 3rd naenda TZ kufanya engagement na (nikah / ndoa) but nimemwambia katika maisha yetu! hospital & my patients will always be my 1st priority daAsha dont you think hii info ni tosha..! kumjulisha mimi ni mtu wa aina gani.. na nikimuahidi simu au kitu flani nisipotimiza basi ni majukumu tu or "circumstances" flani flani zimetokea katika mazingira ya kazi yangu
Umenipa picha kamili... i like that... But Njiwa i am woman thus i know better hio in Blue in most case inakua tu kukubali kua kaelewa but in matendo asikusome kabisa... hata umsemee lugha gani.... Alafu mbay mko mbali - hakuna mahusiana mabaya kama haya.... LDR is a disaster - sikukatishi tamaa but ndio ukweli uliowazi for only a few are able to pull it off.... Hata hivyo i am wishing you all the best ....
ha ha ha
I know... ndio maana nikakwambia (ni one nite stand kwanza....)
ha ha ha... I believe ule msemo wa Mapenzi yana RUN Dunia ndio iko hapa....
Hivyo kupelekea Sex i RUN the brain....lol
WoS, Long time no see mbona umepotea ivo jamani?
Sis, u know me too much now...
(actually ni one day stands,lol! usiulize zikoje..)
Nimeambiwa na mpenzi wangu kama nataka tuishi pamoja nimnunulie gari Rav4 new model, sasa ndio nawaza pakupata pesa nusu nimeishapata hizo zingine ndio kichwa kinauma hapa )
Please wait m thinking.....................................!!!! )
Please wait m thinking.....................................!!!!
Nawaza ni lini nitakuwa na mafanikio kama oprah
gosh