USIA wa Nyerere unaoishi leo

USIA wa Nyerere unaoishi leo

"matusi ya nyerere yanayoishi leo
quote_icon.png
By Makame
Sijaelewa hapo. Nyerere alimtusi mtu/watu au yeye ndiye alietusiwa? It should be remembered that the late Nyerere was not God. Ingawa kuna mikakati ya kumfanya Saint ili iwe kila alichofanya na alichosema ni kitakatifu. Siasa zina mizengwe sana.

Nyerere

(1) Fought for African Liberalization
(2) Ameleta Muungano
(3) Ameondosha ukabila

Pia

(1) amepigana vita Uganda kwa kutaka amrudishe swahiba wake Obote madarakani

(2) Ameleta azimio la Arusha na operation vijiji - vyote vilifeli
(3) Alisababisha mgao wa sukari na unga, sabuni ilikuwa hakuna, maduka hayana bidhaa.
(4) Ilikuwa hakuna uhuru wa kuongea, vyombo vya habari na uwekezaji.

TUMETOKA MBALI. Uzuri wa binadamu, hawakawii kusahau"

Ndugu Makame mimi nigusie tu (3) na (4). JKN alikuwa mpambanaji. Aliingia katika mvutano na IMF (wakala wa International capitalism for better or for worse, it depends unanufaika vipi na mfumo huu) kwa kutaa masharti yao ambayo kwa maoni yake (yawezekana alikuwa sahahi au hakuwa sahihi - lakini nia ilikuwa ni sahihi) aliona ni kuwaumiza wananchi ambao alikuwa akiwaongoza! IMF nayo ikaamua kutuadhibu na ndiyo hali ya joto tuliyoonja. IMF ikashinda na JKN akajiondokea kiungwana (akang'atuka). Alikuwa muungwana vinginevyo angeng'ang'ania kama Mugabe. Aliona upepo wa mabadiliko ya kidunia (utandawazi) ulivyokuwa unavuma kwa kasi. Ni upepo huo huo ambao unahusiana na hiyo hoja yako namba 4. Kwa hivyo basi ukitaka kufanya uchambuzi makini wa kisiasa ni muhimu ukazingatia suala la wakati (enzi). Ni kweli enzi za JKN hatukuwa na uhuru wa vyombo vya habari kama ilivyo leo (na pengine dunia yote ilikuwa hivyo) lakini tulikuwa na uhakika wa umeme (alitengeneza mitambo yote ya mtera na kidatu na ilitosha mahitaji ya wakati huo). Leo hii tuna uhuru mkubwa wa vyombo vya habari na UWEKEZAJI lakini tuko gizani (hata kile kidogo alichoanzisha nacho kimetoweka). Badala ya kumlaumu JKN mimi ninafikiri tungejiliza kwa nini tumeshindwa kujenga kuta kwenye ile misingi mizuri ya huduma za kijamii aliyojenga? Na ni mingi ndugu yangu hatuwezai kumaliza nafasi ya thread hii kuiorodhesha yote inagusa nyanja zote muhimu ikiwa ni pamoja na elimu na miundombinu. Kikubwa zingatia nyakati katika kuchambua masuala ya kisiasa.
 
Nilikuwa nafuatilia sana hilo, na nimejaribu kuulizia, kusoma vitabu vingi, article nyingi na nimepata jibu. Iddi Amin alikuwa mbabe kama vile Saddam alivyoivamia Kuwait. Lakini wakati ule unakumbuka Marekani wakaamua kutoenda kumvamia au kumtoa kwa uamuzi wa Bush's father ambaya alikuwa Rais wakati ule.
Issue kama ile iliikumba TZ, na Iddi Amin alipotaka kuichukua Kagera kwa "dhumuni" la "kuwakomboa" wana Kagera kutaka ktk Ujamaa anavyosema Idd Amin. Sasa Nyerere akaamua self defense fair game, kumtoa Idd Amin ktk Kagera. WTZ waliweza kuondoa jeshi la Idd Amin kwa urahisi. Hapo ndipo Nyerere akaanza na mkakati wa offensive. Sasa hizi jumuia zote kama OAU, UN zikapinga sana uamuzi wa Nyerere kutaka kuivamia offensive Uganda kwa dhumuni la kumuondoa Idd Amin. Walipinga kwa sababu walijua watu wengi watakufa, bila ya hatia. Lakini Nyerere kwa Ubabe akasema lazima amuondoe Idd Amin.
Hapo ndipo alipoanza kupunguza kasi yake kupendwa ktk Afrika. Nchi nyingi zilipinga uamuzi wake kwa sababu Nyerere alikuwa anataka kulipiza kisasi. Na kuna WTZ ambao walikuwa karibu na Nyerere walikuwa wanasema kwamba alikuwa anataka kumfundisha adabu Idd Amin kwa kumtoa madarakani, lakini alsihindwa kuangalia gharama za vita, vifo vya innocent people.

Vita vya Uganda vilipoisha, Nyerere alitoswa na Jumuia zote kama OAU, UN ktk maendeleo hapo ndipo uchumi wa nchi ulianza kuanguka vibaya sana. Ndiyo maana ilipofikia kwenye 1981,82,83, Nyerere alikuwa taabani ktk uongozi. Na ilipofika 84,85 ndipo alipoamua kuachia ngazi kabisa.
Hapana. Jimmy Carter ndiye aliyekuwa rais mwaka 1978-9 wakati wa vita vya Uganda. Soma tena kwa makini sources ulizo nazo. Na si kwamba Nyerere alitoswa na jumuiya ya kimataifa baada ya vita hivyo. Jimmy Carter aliiahidi Tanzania msaada lakini asingeweza kuupitisha katika bunge wakati wa kampeni za uchaguzi 1979. Alidhani kuwa akishinda term ya pili atakuwa na uwezo wa kulishawishi bunge litoe msaada kwa Tanzania.
Kilichotokea ni Wamarekani kukamatwa mateka Iran wakati wa kipindi cha Carter na Reagan kuwashawishi Wairan wasiwaachie mateka mpaka baada ya uchaguzi kumalizika ( which happened) na Reagan akashinda urais Marekani 1980. Reagan alimwita balozi Bomani White House na kumwambia kuwa serikali yake haiwezi kutoa msaada kwa socialist country. Ndio ukawa mwisho. By the way, soma tena ile makala uliyotumwagia humu, nimemaliza kuisoma na haisemi unayoyasema hapa. Hakuna nchi iliyopinga juhudi za Nyerere kuikomboa Kagera.
 
Wapi nilizungumzia vita vya Uganda na rais wa Marekani mwaka 1978-79? Nilikuwa natoa mfano action aliyochukua Nyerere ya kuvamia Uganda kwa ajili ya offensive, ilikuwa same na situation ya Saddam alipoivamia Kuwait. Tofauti kati ya Bush's father nikwamba hakuenda kumtoa Saddam, lakini Nyerere alikwenda kumtoa Idd Amin kwa njia ya kulipiza visasi. Hii ndiyo mistake aliyofanya Nyerere ya kwenda kwa ajili ya kulipiza visasi. Bush vita vya Gulf hakwenda kumtoa Saddam, ndani Iraq. Nyerere alipoondoa jeshi la Uganda Kagera, aliamua kwenda ndani ya Uganda bila ya baraka za OAU, na UN. Hizi ni facts.
Nazungumzia offensive ya Nyerere ndani ya Uganda. OAU, na UN, walipoona Nyerere keshamuondoa Idd Amin Kagera waliona hamna umuhimu wa Nyerere kuivamia Uganda kwa ajili ya kumtoa Idd Amin. Nyerere alipinga uamuzi wa OAU, na UN wa kutoivamia Uganda offensively. Kwa watu wa karibu walikuwa wansema kwamba Nyerere alikwenda kumtoa Idd Amin kwa sababu alikuwa anataka kulipiza visasi. Jumuia za Kimataifa zilipinga uamuzi huo, na Nyerere hakupewa msaada wowote wa kivita ktk kwenda kuivamia Uganda. Vita hivyo ndivyo vimeifanya TZ kuwa maskini mpaka leo.
 
OAU, na UN, walipoona Nyerere keshamuondoa Idd Amin Kagera waliona hamna umuhimu wa Nyerere kuivamia Uganda kwa ajili ya kumtoa Idd Amin. Nyerere alipinga uamuzi wa OAU, na UN wa kutoivamia Uganda offensively. Kwa watu wa karibu walikuwa wansema kwamba Nyerere alikwenda kumtoa Idd Amin kwa sababu alikuwa anataka kulipiza visasi. Jumuia za Kimataifa zilipinga uamuzi huo, na Nyerere hakupewa msaada wowote wa kivita ktk kwenda kuivamia Uganda. Vita hivyo ndivyo vimeifanya TZ kuwa maskini mpaka leo.

Weka ushahidi wa resolutions (maamuzi) unayodai ya UN na OAU kuhusiana na kauli zako za Vita vya Kagera. Weka ushahidi pia wa jinsi gani "Vita hivyo ndivyo vimeifanya TZ kuwa maskini mpaka leo."
 
"matusi ya nyerere yanayoishi leo
quote_icon.png
By Makame
Sijaelewa hapo. Nyerere alimtusi mtu/watu au yeye ndiye alietusiwa? It should be remembered that the late Nyerere was not God. Ingawa kuna mikakati ya kumfanya Saint ili iwe kila alichofanya na alichosema ni kitakatifu. Siasa zina mizengwe sana.

Nyerere

(1) Fought for African Liberalization
(2) Ameleta Muungano
(3) Ameondosha ukabila

Pia

(1) amepigana vita Uganda kwa kutaka amrudishe swahiba wake Obote madarakani

(2) Ameleta azimio la Arusha na operation vijiji - vyote vilifeli
(3) Alisababisha mgao wa sukari na unga, sabuni ilikuwa hakuna, maduka hayana bidhaa.
(4) Ilikuwa hakuna uhuru wa kuongea, vyombo vya habari na uwekezaji.

TUMETOKA MBALI. Uzuri wa binadamu, hawakawii kusahau"

Ndugu Makame mimi nigusie tu (3) na (4). JKN alikuwa mpambanaji. Aliingia katika mvutano na IMF (wakala wa International capitalism for better or for worse, it depends unanufaika vipi na mfumo huu) kwa kutaa masharti yao ambayo kwa maoni yake (yawezekana alikuwa sahahi au hakuwa sahihi - lakini nia ilikuwa ni sahihi) aliona ni kuwaumiza wananchi ambao alikuwa akiwaongoza! IMF nayo ikaamua kutuadhibu na ndiyo hali ya joto tuliyoonja. IMF ikashinda na JKN akajiondokea kiungwana (akang'atuka). Alikuwa muungwana vinginevyo angeng'ang'ania kama Mugabe. Aliona upepo wa mabadiliko ya kidunia (utandawazi) ulivyokuwa unavuma kwa kasi. Ni upepo huo huo ambao unahusiana na hiyo hoja yako namba 4. Kwa hivyo basi ukitaka kufanya uchambuzi makini wa kisiasa ni muhimu ukazingatia suala la wakati (enzi). Ni kweli enzi za JKN hatukuwa na uhuru wa vyombo vya habari kama ilivyo leo (na pengine dunia yote ilikuwa hivyo) lakini tulikuwa na uhakika wa umeme (alitengeneza mitambo yote ya mtera na kidatu na ilitosha mahitaji ya wakati huo). Leo hii tuna uhuru mkubwa wa vyombo vya habari na UWEKEZAJI lakini tuko gizani (hata kile kidogo alichoanzisha nacho kimetoweka). Badala ya kumlaumu JKN mimi ninafikiri tungejiliza kwa nini tumeshindwa kujenga kuta kwenye ile misingi mizuri ya huduma za kijamii aliyojenga? Na ni mingi ndugu yangu hatuwezai kumaliza nafasi ya thread hii kuiorodhesha yote inagusa nyanja zote muhimu ikiwa ni pamoja na elimu na miundombinu. Kikubwa zingatia nyakati katika kuchambua masuala ya kisiasa.

3). Unasema kuwa tunapofanya uchambuzi tuangalie environmental dynamics za wakatu ule. Sasa wewe ukiwa ni kiongozi Mkuu wa Nchi, unafanya maamuzi yanayopelekea kwa basic comodities kutokupatikana kwa urahisi, inakuaje?? Ni maamuzi yako ndio yanayoleta dhiki. Sasa kusema ukweli wa hali iliyokuwepo; imekuwa tunamkosoa. Basi nasema kwamba hakukosea; ni watanzania ndio waliokosea kunung'unika chini chini. Dada zetu walichukuliwa na wazee walioukuwa wakienda nairobo kwa kupewa mifuko ya nylon ya bata. mtu akioga, likitoka povu la sabuni kwake inabidi achunguzwe; sasa kama hilo ilikuwa kwa upande wenu mnaotetea ni sahihi; mie nitakuwa sina hoja ya ziada. Vitu viko wazi; BLACK or WHITE no need of looking for gray.

4) Watanzania wengi mnanisikitisha. Uwekezaji sio lazima uje kutoka nje, hata ndani pia ni uwekezaji. Hili tatizo tumeliona mpaka katika ngazi za mamlaka ya uwekezaji nchini, ambapo nembo yake kuna mikono miwili inapeana handshake mmoja ni mweusi (Ambao bila shaka ndio wa Mtanzania) na mwengine mweupe (ambao utakuwa ni wa Mzungu - Kaburu - Bepari). Hivi karibuni tumesoma magazetini na kusikia kutoka taaarifa mbalimbali kwamba Tanzania inakusudia kujenga bomba la kusambaza gesi, kupeleka Mombasa. Sasa mimi hapo siwezi sema kitu; kwani uwekezaji unaweza ukawa umefunguliwa, ila ukatumiwa pasipo na vipaumbele. Kwa hiyo, turudi kuangalia sera ya uwekezaji nchini. Ama kuhusu Freedom of Press and of Speech, inawezekana kuna baadhi ya zilikuwa hazina uhuru huo; na hadi leo zipo baadhi ambazo bado hazina. Lakini zilikuwepo nchi ambazo zilikuwa na uhuru huo, so it was a matter of Choice; our Late Father of the Nation decided to oppress his people.

Pia ningependa kujua, kuna masuala nimeyaweka mwanzo matatu, yanaongelea positives za nyerere, naona hayo yako sawa sio? kwa hio kuzungumzia positives ni sawa, ukiweka negative ndio inaleta gogoro?
 
vp mkuu! umekurupuka kutoka saloon kusuka nywele nini?

Ndugu yangu; katika PRINCIPLES of Good Neighbourhood za kimataifa. Kila nchi ina uhuru wake (SOVEREIGNITY). Endapo nchi nyengine itaingia katika mipaka yako unapaswa kulinda mipaka hio kwa nguvu zote. Mipaka ya Tanzania na Uganda ni pale Mtukula. Baba wa Taifa alipeleka Jeshi lake mpaka Kampala, kwa lengo la kumuondoa NDULI AMIN. Tanzania ilikiuka taratibu zote za kimataifa kuivamia Uganda na kumtoa Rais wa Uganda wa wakati ule. Tanzania katika sheria za kimataifa ina mamlaka na uhuru wa kulinda mipaka yake na sio kwenda kumtoa kiongozi wa nchi nyengine. Aidha; baada ya kuondoka kwa Amin, Tanzania ilikuwa ina - influence nani awe Rais wa Uganda; mpaka yukafanikiwa kumuweka OBote. Obote wa Mwalimu's closest ally, they were together in Makerere.

Jengine ni kwamba, ili tupate one sided view to the conflict, Mashuleni na vyuoni ikawa ni propaganda moja kwa moja za kumlaani NDULI na kusifia vita vya 1979. Kule zanzibar walibahatika kuwa na TV wakati ule -( Bara Mwalimu hakutaka TV hata ya Taifa, Mwinyi ndio alikuja kufungua TV Bara); ilikuwa kwa mwaka mara 6 zinaonyeshwa film za amin. Hii yote ili ku justify mashambulizi tuliyoyafanya dhidi ya Uganda, na kuhalalisha uteterekaji wa Uchumi ambao Awamu za Uongozi zimeendelea kurithi. Action iliyohitajika ni kulinda mipaka yetu na kulipeleka suala OAU and UN.

Jengine la kujiuliza, 1985 Nyerere aling'atuka; mbona hakukabidhi na uenyekiti wa chama? kumbuka kuna kitabu kinaitwa 'Towards Party Supremacy' kwa hio he was ready to give out presidency but wanted to remain supreme. Hii inakuambia nini? alikuwa king'ang'anizi wa madaraka. Au ndio kwamba yeye ndio alikuwa the most perfect human, semi god - na sasa Saint; kwa hio ilibidi awaangalie hawa binadamu? Mimi nasema na nitarudia, Nyerere alikuwa na mafanikio yake na mapungufu yake; sasa kama mnataka tuzungumzie mafanikio wo mapungufu, hii safu itakuwa haina dili.
 
Namba moja umeshajibiwa,mimi naongezea tu namba mbili,

hivi vijiji tulivyonavyo hadi hivi leo mimi ninaishi kijiji cha kiberege wilayani kilombero, halafu wewe unaleta mbofu mbofu??

Statistically insignificant. Vijiji vingi vilivyoanzishwa vilifeli. Watu walishambuliwa na wanyama wakali ikiwemo simba, and died in thousands. Kama yanayotendeka leo ya ICC yangekuwa yanafanyika wakati ule, mwalimu angekula warrant
 
ndugu yangu; katika principles of good neighbourhood za kimataifa. Kila nchi ina uhuru wake (sovereignity). Endapo nchi nyengine itaingia katika mipaka yako unapaswa kulinda mipaka hio kwa nguvu zote. Mipaka ya tanzania na uganda ni pale mtukula. Baba wa taifa alipeleka jeshi lake mpaka kampala, kwa lengo la kumuondoa nduli amin. Tanzania ilikiuka taratibu zote za kimataifa kuivamia uganda na kumtoa rais wa uganda wa wakati ule. Tanzania katika sheria za kimataifa ina mamlaka na uhuru wa kulinda mipaka yake na sio kwenda kumtoa kiongozi wa nchi nyengine. Aidha; baada ya kuondoka kwa amin, tanzania ilikuwa ina - influence nani awe rais wa uganda; mpaka yukafanikiwa kumuweka obote. Obote wa mwalimu's closest ally, they were together in makerere.

jengine ni kwamba, ili tupate one sided view to the conflict, mashuleni na vyuoni ikawa ni propaganda moja kwa moja za kumlaani nduli na kusifia vita vya 1979. Kule zanzibar walibahatika kuwa na tv wakati ule -( bara mwalimu hakutaka tv hata ya taifa, mwinyi ndio alikuja kufungua tv bara); ilikuwa kwa mwaka mara 6 zinaonyeshwa film za amin. Hii yote ili ku justify mashambulizi tuliyoyafanya dhidi ya uganda, na kuhalalisha uteterekaji wa uchumi ambao awamu za uongozi zimeendelea kurithi. Action iliyohitajika ni kulinda mipaka yetu na kulipeleka suala oau and un.

jengine la kujiuliza, 1985 nyerere aling'atuka; mbona hakukabidhi na uenyekiti wa chama? Kumbuka kuna kitabu kinaitwa 'towards party supremacy' kwa hio he was ready to give out presidency but wanted to remain supreme. Hii inakuambia nini? Alikuwa king'ang'anizi wa madaraka. Au ndio kwamba yeye ndio alikuwa the most perfect human, semi god - na sasa saint; kwa hio ilibidi awaangalie hawa binadamu? Mimi nasema na nitarudia, nyerere alikuwa na mafanikio yake na mapungufu yake; sasa kama mnataka tuzungumzie mafanikio wo mapungufu, hii safu itakuwa haina dili.

... Vipi kuhusu vita ya visiwa vya comoro? Tanzania imengia pale kwa pesa ya walipa kodi kwenda kumtoa rais ambaye wananchi wa comoro walikuwa wanampenda,! .... Swali langu linakuja je vita ya comoro ndo imeleta njaa tanzania? Je ndo sababu hatuna umeme?, je ndo sababu thamani ya shilingi imeshuka? Je ndo sababu walimu wanataka kugoma kwakukosa malimbikizo ya posho zao?
... Kama ndo hivyo kwanini tulienda comoro? Naweza kuwa juha lakini narefer kutoka kwenye vita vya kagera na kuporomoka kwa uchumi wakati mwalimu (rip)
 
Article ni nzuri. Lakini hakuna mahali inasema UN ilimlaani Nyerere kwa uvamizi huo. In fact UN ilikaa kimya. OAU ilijaribu upatanishi kwa kumtaka Nyerere aondoe majeshi yake. Nyerere aliiambia OAU ilaani kwanza uvamizi wa Uganda nchini Tanzania. Hawakufanya hivyo.

Mkuu Jasusi, Nyerere hakuwa chanzo cha vita ile dhidi ya Uganda. Nduli aliivamia sehemu ya nchi yetu na kuwaua Watanzania, kuwatesa na pia kuwafanyia mambo ya kinyama. Pia Nduli alitamka kwamba ile ardhi iliyotekwa ilikuwa ni sehemu ya Uganda. Kwa hiyo Nyerere alikuwa na kila sababu ya kuitisha mkutano pale Diamond Jubilee hall na kutangaza rasmi vita vya kumtoa nduli ndani ya mioaka yetu na kusema sababu za kumtoa nduli tunazo, nia ya kumtoa nduli tunayo na uwezo tunao. Kama Jemadari Mkuu wa majeshi yetu akawaamrisha vijana wake waingie kazini. Na waliikamilisha kazi ile vizuri sana ambapo Nduli aliishia kuikimbia nchi yake na kuwa mkimbizi kule Saudi Arabia alikoishi mpaka kupoteza uhai wake.

UN ni bomu na hata hiyo OAU ilianza usanii miaka mingi tu iliyopita.
 
... Vipi kuhusu vita ya visiwa vya comoro? Tanzania imengia pale kwa pesa ya walipa kodi kwenda kumtoa rais ambaye wananchi wa comoro walikuwa wanampenda,! .... Swali langu linakuja je vita ya comoro ndo imeleta njaa tanzania? Je ndo sababu hatuna umeme?, je ndo sababu thamani ya shilingi imeshuka? Je ndo sababu walimu wanataka kugoma kwakukosa malimbikizo ya posho zao?
... Kama ndo hivyo kwanini tulienda comoro? Naweza kuwa juha lakini narefer kutoka kwenye vita vya kagera na kuporomoka kwa uchumi wakati mwalimu (rip)
Amin was President of Uganda since 1971. Comoro hatujapigana vita, tulipeleka majeshi yalinde amani; na pia kuonyesha chuki yetu dhidi ya kuhujumiwa kwa utawala wa kidemocrasia. Do not compare oranges and apples. We messed up, the decision of moving to Kampala was uncalled for. The good thing is that Amin had no good PR connections with the West, especially after the 1976 Entebbe hostage issue with Israel na yeye kubebwa kibwanyenye; na pia ni kwamba aliingia madarakani kwa kupindua (Ingawa ndio ilikuwa style ya wakati ule); ndio maana hakuwa na sympathisers. Nyerere kwenda Kampala was beyond his mandate, alikuwa mbabe kama Marekani.

Nyerere was human and not God or Angel. Wenye propaganda zao wanataka kumpa utakatifu ili kila alilotenda tulione takatifu. Nyerere amechangia kwa kiasi kikubwa hali ya Tanzania kuwa ilivyo hivi sasa. Na naamini unajuwa hali gani, kwa kila hali.
 
Makame,
The Ugandan war was a just war. Soma ile thread ya Acheson aliyoambatanisha Shamu urudi hapa tujadilie. Ni rais wa nchi gani ambaye angekubali eneo lake litekwe na mwendawazimu bila kujibu? Hata baada ya kumwondoa Idi amin kwenye ardhi yetu tulikuwa na sababu ya kumwondoa madarakani Kampala. Otherwise angejipanga na kuanzisha mashambulizi mapya.
 
YES IT WAS JUST A WAR.

kwenda Kampala na kumtoa Amin ni kinyume na taratibu. Ingefaa zaidi wapinzani wake ndio wamtoe. Sisi tungewa support hao wapinzani. eneo limetekwa, lirudishwe kwa nguvu. Lakini kwenda Kampala was uncalled for. Mchonga alitaka kumrudisha swahiba wake OBOTE Milton

Makame,
The Ugandan war was a just war. Soma ile thread ya Acheson aliyoambatanisha Shamu urudi hapa tujadilie. Ni rais wa nchi gani ambaye angekubali eneo lake litekwe na mwendawazimu bila kujibu? Hata baada ya kumwondoa Idi amin kwenye ardhi yetu tulikuwa na sababu ya kumwondoa madarakani Kampala. Otherwise angejipanga na kuanzisha mashambulizi mapya.
 
Wapi nilizungumzia vita vya Uganda na rais wa Marekani mwaka 1978-79? Nilikuwa natoa mfano action aliyochukua Nyerere ya kuvamia Uganda kwa ajili ya offensive, ilikuwa same na situation ya Saddam alipoivamia Kuwait. Tofauti kati ya Bush's father nikwamba hakuenda kumtoa Saddam, lakini Nyerere alikwenda kumtoa Idd Amin kwa njia ya kulipiza visasi. Hii ndiyo mistake aliyofanya Nyerere ya kwenda kwa ajili ya kulipiza visasi. Bush vita vya Gulf hakwenda kumtoa Saddam, ndani Iraq. Nyerere alipoondoa jeshi la Uganda Kagera, aliamua kwenda ndani ya Uganda bila ya baraka za OAU, na UN. Hizi ni facts.
Nazungumzia offensive ya Nyerere ndani ya Uganda. OAU, na UN, walipoona Nyerere keshamuondoa Idd Amin Kagera waliona hamna umuhimu wa Nyerere kuivamia Uganda kwa ajili ya kumtoa Idd Amin. Nyerere alipinga uamuzi wa OAU, na UN wa kutoivamia Uganda offensively. Kwa watu wa karibu walikuwa wansema kwamba Nyerere alikwenda kumtoa Idd Amin kwa sababu alikuwa anataka kulipiza visasi. Jumuia za Kimataifa zilipinga uamuzi huo, na Nyerere hakupewa msaada wowote wa kivita ktk kwenda kuivamia Uganda. Vita hivyo ndivyo vimeifanya TZ kuwa maskini mpaka leo.
Shamu,
Hata kuliondoa jeshi la Idi Amin kutoka Kagera Nyerere hakuwa na baraka za OAU. Sasa iweje apate baraka za OAU kumwondoa Amin Kampala?
Does it make sense to you? Na baada ya kumwondoa Amin Kagera what was to be next? Was the OAU ready to put its army on the border of Tanzania and Uganda to make sure Amin does not repeat his crazy dreams? The answer is no, and Nyerere had to act. That is why Tanzania is safe today and you can type whatever you want behind your keyboard. Thanks to Nyerere! And by the way, kazi ya kumtoa Saddam si ilimalizwa na mtoto wake Bush?
 
YES IT WAS JUST A WAR.

kwenda Kampala na kumtoa Amin ni kinyume na taratibu. Ingefaa zaidi wapinzani wake ndio wamtoe. Sisi tungewa support hao wapinzani. eneo limetekwa, lirudishwe kwa nguvu. Lakini kwenda Kampala was uncalled for. Mchonga alitaka kumrudisha swahiba wake OBOTE Milton
Ndiyo, ni kinyume cha taratibu if you are thinking within the box. Nyerere thought out of the box and today we are safely discussing him without fear that Amin's hoodlums are lurking in the Tanga neighbourhoods.
 
Shamu,
Hata kuliondoa jeshi la Idi Amin kutoka Kagera Nyerere hakuwa na baraka za OAU. Sasa iweje apate baraka za OAU kumwondoa Amin Kampala?
Does it make sense to you? Na baada ya kumwondoa Amin Kagera what was to be next? Was the OAU ready to put its army on the border of Tanzania and Uganda to make sure Amin does not repeat his crazy dreams? The answer is no, and Nyerere had to act. That is why Tanzania is safe today and you can type whatever you want behind your keyboard. Thanks to Nyerere! And by the way, kazi ya kumtoa Saddam si ilimalizwa na mtoto wake Bush?

Good, you agree.
 
Propaganda at its best. Thinking out of the Box.

1. Tusingemtoa amin, tungeokoa maisha ya Wanajeshi wetu na wa Uganda waliopoteza maisha.
2. Tungetumia rasillimali kwa kuleta maendeleo; kuliko kwenda Kampala.
3. Tungetumia OAU na UN kumdhibiti Amin,
4. Tusingekula vyakula vya mgao, dona ya njano, sabuni ya harita na chumvi kwenye Uji wa chai.
5.Kudhibiti watu wasitumie magari Jumapili.

Ndio munaniambia eti kama THINKING OUT OF THE BOX IS WAR MONGERING AND ECONOMIC RETARDATION
 
AU supports Omar Bashir............Yes, It's just another Club!
 
Do you know the reason why?

Are you an african?\

Do you understand African Politics or you have been brainwashed by western media?

AU supports Omar Bashir............Yes, It's just another Club!
 
Back
Top Bottom