Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
haifai inakula sana mafuta yaani inatumia lita 23 kwa kilometa moja..haifai kabisa aisee
haifai inakula sana mafuta yaani inatumia lita 23 kwa kilometa moja..haifai kabisa aisee
inaitwaje?
Hata zile Mende za mchanga hazijafika hapo. Sasa fuel tank ina capacity gani?
Brevis gari zuri sana.
Mkuu kama budget inaruhusu chukua hutajuta.
Ulishawahi kuitumia? nataka nijue ulaji wa mafuta na kama ina ugonjwa wowote wa kusumbua
Thanks
Sidhani kama inapita cc 1800 na ukichukulia ni new model ie vvti ulaji wa mafuta ni mzuri.
Bro kuna hii kitu, ni economy sana kwenye mafuta/gesi! Jaribu utatuletea mrejesho! Mimi ni mwaka wa tatu sasa siijui sheli, hakuna cha road license, Insurance wala stika za wiki ya nenda kwa usalama barabarani!