Ushuuda-Kuna mtu humu alishawahi kutumia ya ina hii?

Jimmy Romio

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
367
278
Kama kuna mtu ana huu mkoko naomba aniambie uzuri au ubaya wake kwenye mafuta na maintenance pls!

1280px-2004-2007_Toyota_Premio.jpg
 
Attachments

  • 1280px-2004-2007_Toyota_Premio.jpg
    1280px-2004-2007_Toyota_Premio.jpg
    127.7 KB · Views: 363
Vp hiyo gari ushaichukua au bado upo kwenye research??Mm ninayo premio ya CC 1800.Ulaji wake wa mafuta ni kama ifuatavyo
Ukiwa kwenye safari ndefu inakula 1 ltr kwa 13-14 kms niliipima wakati nakuja mwanza kutokea dar.
Ila kwa safari za ki mjini mjini inakula 1ltr kwa kilomita 8 mpaka 9 nime prove hiyo sijaambiwa na mtu.
 
Donkey_1_arp_750px.jpg

Bro kuna hii kitu, ni economy sana kwenye mafuta/gesi! Jaribu utatuletea mrejesho! Mimi ni mwaka wa tatu sasa siijui sheli, hakuna cha road license, Insurance wala stika za wiki ya nenda kwa usalama barabarani!
 
haaaa haaaaaa nimecheka sana
 
Donkey_1_arp_750px.jpg

Bro kuna hii kitu, ni economy sana kwenye mafuta/gesi! Jaribu utatuletea mrejesho! Mimi ni mwaka wa tatu sasa siijui sheli, hakuna cha road license, Insurance wala stika za wiki ya nenda kwa usalama barabarani!

ha ha ha mbona ana mimba????
 
wengi wa huumu watakuongopeA nenda wanapo yauza au ingia tovuti ya manufacture kila kitu kipo
 
Back
Top Bottom