Ushuru mpya wa kuingiza magari chakavu~

Ushuru mpya wa kuingiza magari chakavu~

Joined
Aug 21, 2011
Posts
25
Reaction score
7
Msaada wadau Mwenzenu nimeagiza gari used japan Naomba yeyote muelewa wa hizi kodi mpya anipe ufafanuzi Nimeingia katika website ya tra nimeshindwa kukitumia kile kikokotozi chao please kwa anaefahamu mfumo wa kodi hizo mpya anisaidie ili nijipange kuhusu fedha za kulikomboa. Aina ya gari ni NISSAN ELGRAND ya MWAKA 1998 cc3150 cif3925usd fob 1760usd nawakilisha
 
Kwa kuwa ni la 1998, utalipa dumping fee hivyo Jiandae kwa gharama kama za kuagiza (cif), hapo utakuwa na uhakika wa kulikomboa.
 
I have tried going through the TRA list of used cars but can't find this model. If you manage to get it let me know and will be able calculate the approximate amount of tax you can expect to pay.
 
Kama kuna mtu anajamaa yake tra pale tra ani pm nikajaribu kumuona kwa ufumbuzi wa hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom