Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,832
- 7,973
Nasikitika uzi wangu wachangiaji wengi ni wanaume makapuku. Mindset ya mtu ya mtu ina nafasi kubwa sana kuelezea kipato hata kama hatujuani lakini kwa kusoma comment tu naweza kujua unahangaishwa na maisha kiasi gani. Watu wenye pesa hawana mda wa kutengeneza nazaria zisizo na maana hada kuzusha tena kwa kuweka na takwimu eti asilimia kazaa ni waathirika mara wanatoa matako sijui nini. All in all people with no money wana makasiriko sana na siwalaumu najua vichwa vyao vinawaza pesa na wanaamini bila pesa hupati mwanamke wa kukupenda so it is a tragedy kwa kweli.
Jaribu kutoa hoja zenye mashiko.. yani uwe na Logic.Single mothers wengi wana Ukimwi achilia mbali STI za kufikia Ni 90%
Jaribu mwende mpime Ukimwi. Kwanza
Maana matako na kumeza njugu utachagua Mwenyewe.
Kwa nini unasema hivyo?
Kuna single mother, ambao hawajawahi kuolewa ,Masingle maza wengi huachika kwasababu ya 1. uzinzi. 2. Tabia mbaya
98% afya zao huwa sio nzuri though kwà muonekano wa nje huwa hawajionyeshi.
90% huwa wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile
85% ni walevi
Ni limbukeni wa maisha,ANATAFUTA laana huyo
1.Anaibeep mizimu ya ukoo wa huyo mtoto
2.Anacheza na damu za watu huyo
Kama wamekaa kwà kutulia, ni jambo jema. Lakini kama ni waharibifu ,..sio poa!Kuna single mother, ambao hawajawahi kuolewa ,
Kuna wilaya Moja nilikuta Chain iko hivi:-
Single maza > Bodaboda > Wanafunzi > Wazee (Wababa)
Nilishangaa sana.
Afu katika Wilaya ile.....wajane wako wengi sana 80%. Wababa wa Wilaya ile..daahh wanatembea na mabinti wa shule za msingi na sekondari. Binti mdogo miaka 12-16 anaingizwa lodge mchana kweupe na libaba la 50-70 daah
Binafsi nawajua wengi waliofiwa au walioachwa bila wao kupenda( kukimbiwa)Jamii inawanyooshea vidole kwa imani wamejiamua kuwa single
Inayo. Sema Viongozi wamebase kwenye ulaji.Hiyo wilaya haina Jamhuri?
Tena wanatumiaga vilevi vikali.
Kutembea kwingi kuona mengi. Shukuru kwamba wewe ni single maza usiyekua na hekaheka nyingi....huna baya...huna marafiki wa hovyo...tena wewe ni mwanamke unayejitambua. Mshukuru sana Mungu kwà hilo.Huku hakuna aliyelelewa na single maza.?
Hakuna aliyekuwa sababu ya kuongeza kuwepo Kwa single maza?
Huo ukimwi wanambukizana wenyewe Kwa wenyewe?
Ni aibu yetu wanaume kuwafedhesha dada na mama zetu angali sisi ndio chanzo Cha wao single maza
Kwa niaba ya mtoa mada mashangazi wote wa jei efu naomba niombe msamaha Kwa hili lililojitokeza .
Vipi binti Kimoso ni single mama nini?TOA hoja zenye Akili Mkuu.
Ukimwi upo Kwa MTU yeyote. Single mother wanachangamoto nyingi lakini hiyo ya Ukimwi hapo tutawatetea Kwa nguvu zote.
Wapo walivyo Kutokana na kuwa disappointed na wanaume wahuni.
Wapo hivyo Kwa sababu ya kulinda MASLAHI ya Watoto wao
Mzee kipusaKutembea kwingi kuona mengi. Shukuru kwamba wewe ni single maza usiyekua na hekaheka nyingi....huna baya...huna marafiki wa hovyo...tena wewe ni mwanamke unayejitambua. Mshukuru sana Mungu kwà hilo.
Kwa nini usimshauri aende hospitali kubwa kama Aga Khan atapona asizidi kuchelewa.Kuna jamaa , alifundishwa kupewa matako na single maza,...mpaka sasa afya yake changamoto ila huwezi kumjua. Akija ofisini kwangu nampa Azuma zimsaidie kukata mtiririko wa usaa kwenye mrija wa uume wake. Single maza keshaliharibu dudu lake halitamaniki kabisa.
Kijana handsome, mwanamke yeyote akimuona mtaani anatamani aolewe nae. Anatembelea gari zuri...ana Kazi nzuri...lakini ndo vile tena...Matako yamempa maradhi...
Shauri yake,...ujue kuna vijana wa hovyo sana katika Taifa letu.Kwa nini usimshauri aende hospitali kubwa kama Aga Khan atapona asizidi kuchelewa.
Vipi binti Kimoso ni single mama nini?
Sasa tusiwaweke wote kwenye kundi mojaBinafsi nawajua wengi waliofiwa au walioachwa bila wao kupenda( kukimbiwa)