USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

wachumba wapo ila ni wale wajuaji, wazee wa haki sawa. wale ambao ukimwaga mboga wanamwaga ugali, ukimchapa la kushoto anakuchapa la kulia. so kama unataka kuoa karibu sana. ila ukiwa lemutuz tutajua na ukiwa mandingo tutajua maana wa humu kutunza siri za ndani kwao ni mwiko.
Lemutuz na mandingo?
 
Je ni kweli kuna member wenzetu wamefanikiwa kupata wachumba humu Jamii forum? na kama wapo tunaomba ushuhuda.
mchumba kwenye social medias kama ningekuwa sijaolewa nisingewataka... why chasing psycho wakati mtaani na kwenye mahoteli kuna wanaume wa maana ma experts wenye mawe yao?!

kiru! Miss Natafuta njoo huku usikie miujiza
 
Back
Top Bottom