shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Kuwa smart kivipi? Awe ananyosha nguo na perfume ama aje?
smart kwenye uchaguzi wa huyo muhusika maana kila kitu huku ni fek so ni vizuri kama utampata huyo muchumba humu mpeane profile za ukweli na pia msiishie kugegedana uwe makini ikiwezekana mkutane live kwenye public places kila mnapopanga date ili umfahamu vizuri.
narudia tena uwe makini hawa watu ni waongo acha kabisa