ukibebwa jibebe....!!no free lunch yaani waliokuwepo ni ma mario
Kukusaidia kutana na babu Asprinmimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaisha vizuri.
Binafsi sijawahi kupata hapa JF; lakini Darhotwire nilifanikiwa kwa kiwango kikubwa enzi za ujana wangu. Nakumbuka nilimsafirisha mrembo 1 toka Zanzibar akanifuata hadi nilipokuwa naishi .... inapendeza sana.Kuwa smart kivipi? Awe ananyosha nguo na perfume ama aje?
Ndani ya utandawazi unakosea ndg yangu, haiwezekani ushindwe kuelewa kuwa humu JF, hakuna utofauti na barabarani, msibani,kwenye basi,kwenye ndege, chuoni,.................huyo huyo unayekutana naye mtaani ndio aliye na account hapa JF.Im sorry to say this. Mtu anayekuja kutafuta mchumba humu awe mwanamke au mwanaume lazima atakuwa na matatizo, tena makubwa. Haiwezekani watu woooote hao unaokutana nao mtaani, maofisini, na sehemu mbalimbali ushindwe kujenga uhusiano, halafu ufikiri kuna magic partner utampata kwenye mtandao.
Mbona me unanipa pesa???lol.....eti no free lunch
Hii part wasiione: mwallu na Heaven on earth...
Ni pm number yako...mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaisha vizuri.
Hii part wasiione: mwallu na Heaven on earth...
:confused2::confused2:
Hongera sana mkuu,Ni kweli. Shuhuda Mimi hapa
AhsantHongera sana mkuu,
Hujawa seriousNa je kama wapo mbona mimi sijapata?