USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

Je ni kweli kuna member wenzetu wamefanikiwa kupata wachumba humu Jamii forum? na kama wapo tunaomba ushuhuda.
Mm nilibahatika kupata msebule!

Jitahidi na Ww huenda ukapata huo mchumbaa au ukaambulia hata m-sitting room tu!
 
Ngoja nitafute maana nami mwaka huu nataka nipate mke wa maisha kutoka JF
 
wachumba wapo ila ni wale wajuaji, wazee wa haki sawa. wale ambao ukimwaga mboga wanamwaga ugali, ukimchapa la kushoto anakuchapa la kulia. so kama unataka kuoa karibu sana. ila ukiwa lemutuz tutajua na ukiwa mandingo tutajua maana wa humu kutunza siri za ndani kwao ni mwiko.
 
  • Thanks
Reactions: mfu
Back
Top Bottom