Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,485
Alaaniwe huko aliko awe anajamba tu kila akitembeaNiliishia kutapeliwa pesa zangu ila wewe mwanaume Mungu anakuona ipo siku utakutana na mjanja mwenzio
Alaaniwe huko aliko awe anajamba tu kila akitembeaNiliishia kutapeliwa pesa zangu ila wewe mwanaume Mungu anakuona ipo siku utakutana na mjanja mwenzio
Like seriously!!Niliishia kutapeliwa pesa zangu ila wewe mwanaume Mungu anakuona ipo siku utakutana na mjanja mwenzio
Mseme hapa apate aibu ya mwakaNiliishia kutapeliwa pesa zangu ila wewe mwanaume Mungu anakuona ipo siku utakutana na mjanja mwenzio



Sina hata ham nae ni bora angeniambia tu ningempa ila sio alivyonifanyia kila nikikumbuka huwa naumia sanaAlaaniwe huko aliko awe anajamba tu kila akitembea
Yes mamieLike seriously!!
Hahaaa nadhani wadada wengi nitawaliza humu jamaa ni tapeli haswa maana ilibidi tuanze kumfuatilia maisha yakeMseme hapa apate aibu ya mwaka![]()
Aisee pole sana.Yes mamie
AsanteAisee pole sana.
Hatari sana, anyway humu kuna kila aina ya watu coz ni jamii kama jamii zetu mtaani.Hahaaa nadhani wadada wengi nitawaliza humu jamaa ni tapeli haswa maana ilibidi tuanze kumfuatilia maisha yake
Ni kweliHatari sana, anyway humu kuna kila aina ya watu coz ni jamii kama jamii zetu mtaani.
Poleni mlioingizwa chaka.
poleSina hata ham nae ni bora angeniambia tu ningempa ila sio alivyonifanyia kila nikikumbuka huwa naumia sana
Wenzako wametapeliwa kingono, wametafunwa kirahisi tu na kupigwa chini, pesa usiimaind sana.Ni kweli
Asante zote pia ni changamoto za maisha
Mda mwingine naona bora ingekua hivyo ila aliniingiza kwenye matatizo makubwa but now nashukuru nimeyamalizaWenzako wametapeliwa kingono, wametafunwa kirahisi tu na kupigwa chini, pesa usiimaind sana.
Nimeona sehemu umeandika kama sheria zinaruhusu ungeweka utapeli wake humu.Mda mwingine naona bora ingekua hivyo ila aliniingiza kwenye matatizo makubwa but now nashukuru nimeyamaliza
Sema nimejikuta nimekua na roho mbaya sana hadi najishtukia mda mwingine
Vithibitisho nnavyo na vyenye uhakikaNimeona sehemu umeandika kama sheria zinaruhusu ungeweka utapeli wake humu.
Sheria zinaruhusu ilimradi uthibitishe kweli amekutapeli.
Ukimfumbia tapeli kwasababu ya ubinadamu huku unautangaza nusunusu huo ni unyama maana kuna wenzio wataendelea kulizwa.Vithibitisho nnavyo na vyenye uhakika
Ni ile sijui kibinadamu inafikia hatua unatumia tu busara kuacha, maana kwa hali yake uwezo wa kurejesha hana itakayoteseka ni familia yake
Kuna watu majangili kwa kweli..una mtapeli mtoto wa kike.Mda mwingine naona bora ingekua hivyo ila aliniingiza kwenye matatizo makubwa but now nashukuru nimeyamaliza
Sema nimejikuta nimekua na roho mbaya sana hadi najishtukia mda mwingine
Sijakuelewa sentesi yako.Tuanze na wewe
Nataka nitafune mifupa maana Valentine imewadia
Kama ningeamua kumuanika ningeifanya mda sana ila sikutaka kukurupuka,Ukimfumbia tapeli kwasababu ya ubinadamu huku unautangaza nusunusu huo ni unyama maana kuna wenzio wataendelea kulizwa.
Ningekuelewa kama umeamua kukaa kimya ukae pasipo kusema sema sijui nimtaje sijui nimwache. anyway the choice is yours.