CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Mkuu ungekuwa unajitambua usinge kuwa unatumia kujitambua kwako kucha kuaandika utumbo wa kishabiki humu ndani. Anaye jitambua huwa ana jicho la tatu kama moja ya macho yake mawili yasipo ona sawasawa.
Naamini huenda hata wewe ulitamani sana kusoma kule unako ita msituni lakini haikuwezekana! Si unajua marks nazo zilikuwa zina matter.
Hahahaha. Kule msituni nani aende wakati mtu akiende kule akitoka amevurugwa mwanzo mwisho wala hasikii haambiwi. Nakumbuka baada ya uhuni uliozidi pale msituni kuna watu waliletwa mjini shule ya ukweli wakaanza kuwavua nguo maadam wa watu wakijafanya checkup bwenini sasa kwa staili ile mliokuwa mnaishi mlikuwa mnatia aibu hata hivyo sikuona ajabu wewe kuwa sehemu ya chadema manake ukiangalia list ya viongozi chadema haujatofautiana nao kabisa nao. Sugu, Lema, Prof j,Tundulisu. Et al.