Ushuhuda wa kweli: Dodoma waichukia CCM

Ushuhuda wa kweli: Dodoma waichukia CCM

kuichukia ccm kwa maneno haitoshi, waonyesha chuki ya kweli 2014 kwenye chaguzi za serikali za mitaa na 2015 uchaguzi mkuu, Dodoma haina hata jimbo moja la upinzani hata madiwani wa upinzani cjui kama wapo!

Kuna diwani mmoja wa makulu.
 
Umesha anza kupata akili kidogo, ukizidi kuitumia elimu ya gumbaru uliyoipata utazidi kuuona ukweli, naamini umefikiria vyema na kuandika haya kwa kuwa bado ni asubuhi tumbo halina njaa, kijua kikichomoza tu utaanza kufikiria kwa kutumia tumbo.

Wenzio wa buku 7 FC wakikusoma leo sijui kama utapewa mgao. CHAMVIGHA NE CHEFEFEWA.

Mimi najielewa vya kutosha wala siitaji kufanyiwa apreciation juu ya ufahamu wangu na nafahamu ninachokiandika na ninachokiamini. Situmikii buku 7 wala situmiki kuhongwa viloba na Dj ili niweze kusastain town kama mnavyofanya nyie mimi ninajituma wala si njaa za madaraka kwa ajili ya kushibisha tumbo kama nyie waganga njaa mnaolazimisha kuwatumikia mabwana zenu ili watoto wasilale na njaa. Elimu yangu ya Ngumbaru inanisaidia kujitambua si kama elimu yako iliyochanganyika na moshi wa sigara ulioupata kule msituni ulikosemea kiasi mpaka unashauriwa hauwelewi kwakuwa ubongo ulishaathiriwa.
 
Na ndio maana Wana maendeleo makubwa ya kuomba omba Kama alivyokuwa Yule tajiri Yao matonya

...we si mama toto akili yk ndo imeishia hapo unadhan dom inajengwa na wagogo tu..miji yeyote mikubwa wegeni ndo hufanya kazi na biashara mijin wenyeji wanakuwa pembezon kwashughuli za uzalishaji na ulishaji mji kwa kulima kufuga n.k amka mama wew...
 
Naona na wewe unaishi kwenye tembe haya majibu yamedhihirisha
 
huo utafiti wako sample space zote ulizotumia ni za cdm kwa taarifa yk dom hawana ujinga km wa arusha na mbeya watu wanahangaika na kutafuta maisha ccm wangechokwa cdm wangepata hata jimbo moja juz uchaguzi mdogo bado jamaa wamepeta...danganya wajinga wenzako wa humuhumu jf ambao mpo kikazi zaidi kuitangaza cdm wazee wa sera nyepes sasa mnalia na mwigulu chama kizima
dodoma ccm inashinda kwa kuhonga wapiga kura na kutoa vitisho!
 
Ccm bila kutumia umasikini wa watanzania, rushwa, vitisho, polis na mauaji yanayoratibiwa na kina mwigulu haiendi! Ccm hawawezi siasa za ushindani!
 
Hiyo kazi ulipewa au ulijipa na hukuwa na kazi nyingine ya kufanya?.

uwezo wako wa kuchambua mambo ni wa kutiliwa mashaka nadhani ulikuwa unaota mkuu.

Nadhani umeenda dodoma ukaishia kushangaa maendeleo yaliyoletwa na ccm.

leo ni jumapili nenda kanisani upunguze hizo dhambi,na kaa ukijua dodoma ni ccm chadema wanaidharau kama kandambili tangu mbowe awatukane ndo basi tena.
Kaka uwezo wako wa kufikiri mdogo sana,Dodoma ni kati ya mikoa ya Tanzania ambayo ni masikini sana tena hata elimu mnaipata kwa shida mno,heti Dodoma ccm imeleta maendeleo,yapi hayo?wewe ndo uende kanisani ukaombewe ili uokoke kifikra umeishiwa sana ndugu.Pole sana
 
Naona na wewe unaishi kwenye tembe haya majibu yamedhihirisha
Wewe si mtoto wa binadamu hata kidogo,huyu ushuhuda wake kaona rami za dodoma zikamchanganya akawa anaongea hovyo hata hajielewi.
 
Kaka uwezo wako wa kufikiri mdogo sana,Dodoma ni kati ya mikoa ya Tanzania ambayo ni masikini sana tena hata elimu mnaipata kwa shida mno,heti Dodoma ccm imeleta maendeleo,yapi hayo?wewe ndo uende kanisani ukaombewe ili uokoke kifikra umeishiwa sana ndugu.Pole sana
Wewe pengine ulitanguliza miguu wakati wa kuzaliwa.

unapimaje umaskini,kwa hiyo unataka kutuambia kuwa nyie chadema haya mandamano mnayofanya kutwa nzima na kutoa matamko mda wote mkipewa dodoma umaskini utaisha siku moja.

Hata aibu huna umaskini huisha hatua kwa hatua tatizo ukiwa bavicha na akili inaacha kufikli.
 
Mtu duni sana wewe kama Pinda tu! unashindwa kujua neno picha niliyoona ...lina maana gani?
Huna unachojua wewe umeona picha wanazopiga watu pale nyelele groung ndiyo unasema ccm kuchokwa.

pengine umeona picha za mzee yusufu zilizobandikwa ukutani ndiyo unasema ccm kuchokwa acha viroba wewe.
 
huo utafiti wako sample space zote ulizotumia ni za cdm kwa taarifa yk dom hawana ujinga km wa arusha na mbeya watu wanahangaika na kutafuta maisha ccm wangechokwa cdm wangepata hata jimbo moja juz uchaguzi mdogo bado jamaa wamepeta...danganya wajinga wenzako wa humuhumu jf ambao mpo kikazi zaidi kuitangaza cdm wazee wa sera nyepes sasa mnalia na mwigulu chama kizima

Wewe naye si ni chizi...kama na utu uzima wako mpaka leo unaipigania ccm si niwazi kuwa umechanganyikiwa.
 
Kaka uwezo wako wa kufikiri mdogo sana,Dodoma ni kati ya mikoa ya Tanzania ambayo ni masikini sana tena hata elimu mnaipata kwa shida mno,heti Dodoma ccm imeleta maendeleo,yapi hayo?wewe ndo uende kanisani ukaombewe ili uokoke kifikra umeishiwa sana ndugu.Pole sana
Hata dodoma kwanza huijui vema hiyo elimu unayosema inapatikana kwa shida ni ipi.

unadanganya watu wanaoijua dodoma mimi nimesoma makole s/m na dom sec bila hata shida,

Dodoma kila mahala kuna shule za msingi na sec kwa sasa navyuo ndo usiseme,we unaongea elimu gani au elimu ya kumwagia watu tindikali na kufanya mandamano hiyo dodoma kweli haipo na haitakuja.
 
Wewe naye si ni chizi...kama na utu uzima wako mpaka leo unaipigania ccm si niwazi kuwa umechanganyikiwa.
Ni bora aliyechanganyikiwa kuliko wewe uliyerogwa na aliyekuroga kafa sijui atakutibu nani.
 
Sasa hao watu wa dodoma wanakosea!!!
Wamesahau kuwa hii amani ya polisi kulipua mabomu na kupiga risasi raia bila makosa, pamoja na ccm kuwa na makambi ya kufundisha ugaidi ndiyo Tunu ya nchi hii?
Waambieni waendelee kuipenda ccm bana
 
huo utafiti wako sample space zote ulizotumia ni za cdm kwa taarifa yk dom hawana ujinga km wa arusha na mbeya watu wanahangaika na kutafuta maisha ccm wangechokwa cdm wangepata hata jimbo moja juz uchaguzi mdogo bado jamaa wamepeta...danganya wajinga wenzako wa humuhumu jf ambao mpo kikazi zaidi kuitangaza cdm wazee wa sera nyepes sasa mnalia na mwigulu chama kizima

Dom hawana ujinga kama arusha na mbeya ndo maana omba omba wengi hapa tz wanazalishwa hapo dom, na hii yote ni kwasababu ya sera mbovu za ccm. Dom wameng'ang'ana na ccm kwa Muda mrefu sana bila kupata nafuu ktk maisha.Ukombozi wa Kweli utakapowafikia mtabadilika tu.
 
huo utafiti wako sample space zote ulizotumia ni za cdm kwa taarifa yk dom hawana ujinga km wa arusha na mbeya watu wanahangaika na kutafuta maisha ccm wangechokwa cdm wangepata hata jimbo moja juz uchaguzi mdogo bado jamaa wamepeta...danganya wajinga wenzako wa humuhumu jf ambao mpo kikazi zaidi kuitangaza cdm wazee wa sera nyepes sasa mnalia na mwigulu chama kizima
Hahhahahaaaaa ha hi hi!!!! Hivi ni dodoma au arusha ndiko kwenye hospital ya vichaa?hivi arusha na dodoma ni wapi wapumbavu? Hahahaaaa!!
 
Hata dodoma kwanza huijui vema hiyo elimu unayosema inapatikana kwa shida ni ipi.

unadanganya watu wanaoijua dodoma mimi nimesoma makole s/m na dom sec bila hata shida,

Dodoma kila mahala kuna shule za msingi na sec kwa sasa navyuo ndo usiseme,we unaongea elimu gani au elimu ya kumwagia watu tindikali na kufanya mandamano hiyo dodoma kweli haipo na haitakuja.

Ni kweli Dom ina shule nyingi na products zake zinaonekana mitaani (mf. Marehemu babu Matonya na wajasiriamali wenzake)
 
Unajua matonya kazaliwa lini au unajitekenya na kucheka mwenyewe,kwa tarifa yako matonya mkubwa hata yusuph makamba mdogo leo wewe umekula urojo unaropoka tu hata huna unachojua kazi kazi kutumika tu.
 
Back
Top Bottom