Maana ya sasa ya CCM=Chama Cha Mauaji. Watanzania wenzangu aman ya nchi iko rehani na hili limethbitishwa rasmi namkurupukaj, mhalalishaji mateso,vipigo na hata hayo mauaji anaejiita mtoto wa mkulima anaenajis neno "mtoto wa mkulima" kwani sasa yeye ameruka hatua yaukulima nakuwa muaji kwakuruhusu askar kupiga na ninavyojua akil ya polis wameruhsiwa kupga nadhan sasa hapo watapga hadi tufe. Huyo pinda akili yake imepinda kwelikweli. Hadhi yake haipo tena mbele yaduru zakiuongoz amejipaka kinyes mwenyewe. Tuombe Mungu atulinde dhidi yahawa magaidi wakiongozwa na Mwigulu msomi wa ugaid alosomea huko CHINA.