Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

Siku ya Kufa NYANI CCM miti yote inateleza!! Kifo cha haya majambazi ni Dhahiri!! subirini kusanyeni ushahidi tuyakamate kabla hayajahamia ughaibuni!!
 
Kwa mwendo huu, CCM wamepoteza kabisa moral authority ya kuwaongoza Watanzania kwani kimesheheni visa vya utekaji, mauaji na kuwatishia watu kwamba siyo raia pindi wanapopinga ufisadi, sera mbovu na utekelezaji hafifu..."Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao" by Deo Filikunjombe
 
Bora umeamua kufunguka kamanda ili Dunia itambue mauaji yanayofanywa na ccm na mawakala wake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hebu waelimishe na wenzio mlokuwa nao wajitowe kama wewe tupate ukweli halisi wa mambo!

Kweli baba, Kikristo tunasema umekata shauri!!!!!!!!!!!
 
Na bado makubwa zaidi yanakuja,huu si mwanzo tu?Aya bado saana,wengi wanaangalia upepo wa mwakani,wakiona ccm imeshikwa pabaya ndipo watahamia upinzani kama ponapona yao! Yetu macho.
 
Please angalieni mtu mwingine akitoa ushuhuda wa uwepo wa mafunzo ya umafia ndani ya kambi za vijana za CCM.

Tafadhali angalia mpaka mwisho.

 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa chama hiki ni mjeshi, katibu wake mjeshi na waziri mkuu ni TISS hivyo mambo ya ukachero na vita si ajabu. Wanatumia taaluma zao kufanikisha maslahi ya kisiasa.

M/kiti pia naye ni TISS!!
 
Mkapa ndiye alifungua mafunzo hayo!!!

Mwigulu Nchemba anatajwa sana.
 
attachment.php
 
Kifo cha Nyerere ndo kilikuwa kifo cha CCM, wajanja wachache ndo tulielewa hilo. Wajinga wengi hata leo hawajaelewa kinachoendelea ndani ya jeneza la CCM. Mtaelewa tu siku ikifika.
 
Back
Top Bottom