Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,334
- 7,868
Duuuhhh.... Bottom line
Njia salama ni ya calendar, withdrawalna condoms
Usalama wa hiyo withdrawal ni upi?
Duuuhhh.... Bottom line
Njia salama ni ya calendar, withdrawalna condoms
Mwanaume kama yuko vizuri na mwili wake,anaejijua hawezi haonagi shida kutumia condomUsalama wa hiyo withdrawal ni upi?
hawezi kufanyaje?Mwanaume kama yuko vizuri na mwili wake,anaejijua hawezi haonagi shida kutumia condom
Hawezi kuwithdrawhawezi kufanyaje?
Kwanza kwa mwanaume yeyote yule ni ngumu sana kuwithdraw, na kama wapo wenye ujasiri huo ni wachache saana!! Kuwithdraw ni sawa na mtu akulishe keki alafu akwambie utafune tu kisha uiteme badala ya kuimeza.Hawezi kuwithdraw
ni kweli kabisa ila inahitaji umakini wa hali ya juu kwa wote wawili.njia salama ni njia ya asili nimetumia takriban miaka miwili bado nipo fiti just umakini wako tu