Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

Kha! Mko juu akina Dada/mama wote mliochangua huu Uzi, maana mlivyotetea hii starehe kubwa kuliko zote mpaka nimetabasamu.
 
Mkuu kama una huruma kutoka moyoni kwa wanawake. Na hili linakukera basi katika njia mojawapo ya kumkinga mwanamke asimamie uzazi wa mpango ni kutumia condom unaonaje ukianza kumsaidia shemeji yetu kwa wewe kuvaa condom na uelimishe na wengine ili tupunguze vitambi vya wanawake.
 
Hata mke hana, ila ushauri wa akiba huu
 
-Dada mmoja alisema vidonge vya mpango vinaongeza hamu ya kujamiiana. Wanawake wengi wanaotumia wana ugonvi wa kutotosheka na waume zao na kuanza kutoka nje.
 
Back
Top Bottom