Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
...Leo Naomba Tuwe wawazi kwa hili. Wale waliowahi kutumia njia mbalimbali za uzazi wa Mpango kama vile:

1. Vidonge vya Majira
2. Njia vijiti.
3. Sindano,

Na wameshapata madhara mpaka ikawapelekea kulazwa,kuumwa sana na matatizo lukuki.Waweke ushahidi wao humu,kutufahamisha madhara hayo.

Nilikuwa nasikiliza Radio frequency 102.00, wadada wameshuhudia matatizo waliyoyapata,ambayo imewapelekea kutaka kuanzisha shirika litwalo HATUTA NYAMAZA,Litakuwa na Wahanga wa njia hizo na watapaza sauti zao kupinga matumizi ya njia hizo.Wao binafsi wamepata madhara makubwa.

Inasemekana hata kansa ya titi, kansa ya mlango wa kizazi, husababishwa na Matumizi ya vidonge kwa Muda mrefu...

Taifa linaitaji kujikomboa
1. kifikra
2. kiuchumi
3. kiafya.

Taasisi za serikali na zisizo za serikali wanatumia hela nyingi kuhamasisha matumizi ya njia hizo kwa kutaja faida bila Madhara.

Kinadharia, athari ya vidonge vya majira zinaweza kuangukia katika makundi mawili:

1) Kabla ya kujipandikiza, itakuwa na athari za kupunguza uwezo wa kusafirisha mimba katika mirija ya uzazi (fallopian tube) na hivyo huzuia mimba kujipandikiza katika mji wa mimba na hali hii inaweza kusababisha kutotambulika kwa mimba hiyo ikiharibika au mimba hiyo kujipandikiza nje ya mirija hiyo.

2) Kuharibika kwa ngozi nyororo ya tumbo la uzazi kwa namna kwamba mimba hiyo baada ya kufikia mji wa mimba, inashindwa kujipandikiza katika ngozi nyororo.

3) Kutoa mimba kunakosababishwa na mimba hiyo kushindwa kukaa katika mji wa mimba; mimba inajipandikiza lakini baadaye ina kufa kutokana na mji huo kushindwa kuhifadhi mimba hiyo.

1. Mabadiliko ya ngozi nyororo Vidonge (Oral Contraceptives), huathiri moja kwa moja ngozi nyororo kwa kuifanya ngozi hiyo isiweze kupokea na kutunza mimba iliyotungwa. Hali hiyo hutokea kwa sababu vidonge hivyo huharibu ngozi nyororo ambayo hufanya kazi kama kitanda cha mtoto.

Ngozi hiyo inakuwa nyembamba iliyotanuliwa, iliyochoshwa na nyamanyama zake kubaduliwa kwa kuharibu chembechembe za ngozi nyororo na kwa kuharibu chakula cha mtoto kitengenezwacho katika ngozi hiyo.

2. Mabadiliko ya Chachu ziitwazo ‘Integrin' Chachu za ‘intergrin' ni muunganiko wa molekule ambazo hutengeneza mazingira ya upokeaji wa mimba katika ngozi nyororo ya tumbo la uzazi. Chachu hizi zikiharibiwa, mazingira ya upokeaji wa mimba huharibiwa pia yaani, kuifanya mimba isiweze kusafiri kutoka kwenye mirija ya uzazi kwenda kwenye mji wa mimba.

3. Kuongezeka kwa mimba nje ya mji wa mimba Utafiti umeonesha kuwa wanawake wanaotumia vidonge (OC's) wamo katika hatari kubwa ya kupata mimba nje ya tumbo la uzazi ukilinganisha na wanawake wasiotumia.

Utafiti uliofanywa katika nchi 17 zenye jumla ya vituo 33 na uliowahusu watu 2800 umethibitisha kuwa matumizi ya vidonge, yanaongeza uwezekano wa kupata mimba nje ya tumbo la uzazi. Mimba hizi za nje ya tumbo la uzazi (ectopic pregnancy) huhatarisha sana uhai wa mama. Watumiao vidonge vya progestin (POP's) Vilevile wamo katika hatari kubwa ya kupata mimba nje ya tumbo la uzazi.

SWALI
By RDI WANAJF;
Jamani mimi nina ndugu ambaye anasumbuliwa na upungufu wa damu kwa muda mrefu sasa. Tatizo lilianza pale alipojifungua mtoto miaka kama 3 iliyopita. Mtoto wake hajambo lkn huyo shemeji yangu amekuwa na tatizo la kutokwa na damu nyingi sana ktk kipindi cha siku zake. Hili tatizo lilianza mara alipojifungua mpaka leo, na hilo limesababisha kuwepo na damu kidogo mwilini. Kama ni Hospitali, basi karibia Hospitali zote kubwa DAR (Private na Public) amekwenda na kuonana na Madaktari Bingwa wa Wanawake na mara zote hizo hajapata msaada. Amejaribu kutumia hata dawa za asili,na kutumia matunda, Bitruits na hata mboga za majani sana lkn bado haijasaidia na mara zote damu yake haijawahi kuzidi 6.7. Baadhi ya Madaktari Bingwa waliishia kumshauri atoe kizazi, kwamba ndipo atakaopona, hatahivyo bado hawajafikia huo uamuzi yeye na kaka yangu.

Sasa wiki iliyopita alikwenda kwa DR. Bingwa mwingine wa wanawake na kushauriwa kwamba atumie VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO kwa miezi 3 ili aweze kuona kama tatizo litaendelea ama litakoma. Huyo Dr., anasema hilo linaweza likawa njia No. 1 kabla ya kuopt kufanyiwa Operation. Sasa Shemeji na kaka kabla hawajafikia huo uamuzi wa kutumia hivyo vidonge wamekuwa na maswali mengi juu ya nini madhara ya hivyo vidonge? je inaweza ikawa njia muafaka?

Hivyo GT; nimeona niwashirikishe ili na mimi nipate cha kuwashauri, kwani mambo hayo siyo fani yangu. Naombeni ushauri ukilenga ktk haya;
1. Je, kuna dawa yoyote inaweza kusaidia tatizo hilo?
2. Je, wakubali aanze kutumia hivyo Vidonge?
3. Je, ni nini madhara ya hivyo vidonge?
4. N.K

Natanguliza Shukrani.
RDI.

JIBU
Mkuu kunaDr mmoja aliwahi kuniambia nisije kukubali mke wangu kutumia Vidonge vya uzaziwa mpango pamoja na sindano za uzazi wa mpango.

- Mkuu bora hizo njia nyingine lakini si vidonge na sindano, hii kituni balaa tupu. Madara yake

MADARA YA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO PAMOJA NI SINDANO KWA MJIBU WAHUYO DR WA KIZUNGU NI KWAMBA.
MWANAMKE AKITUMIA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO KWA MUDA MWINGI SANA,HIVI VIDONGE HUWA VINA TENGENEZA HOMONE NYINGI SANA ZA KIKE, SO KAMA MWANAMKEATAVITUMIA KWA MUDA MREFU BILA KUZAA NI KWAMBA HIVI VIDONGE VITAMFANYA KUWA NAHOMONE ZA KIKE NYINGI SANA KUPITA KIWANGO. SASA BASI

1. Mama atakapo amua kushika mimba hizi homone nyingi sana alizotengeneza zinahamia kwa mtoto, na endapo mama atazaa mtoto wa kike ni kwambahuyu mtoto wa kike atakuwa na homoni nyingi sana za kike na atawahi sanakuvunja ungo na ndo maana saazingine hukuta mtoto mdogo sana wa kike matatiyalisha chomoka, hii si kwamba inasababishwa na kuku na mayai tu no ni pamojana mama yake kuwa na homon nying sana za kike zilizo pelekea mtoto nae kuwanazo nyingi

2. Endapo mtoto aliye zaliwa ni wa kiume hapo ndo balaa zaidi, huyumtoto wa kiume atakuwa na homon nyingi sana za kike na madhara yake ndo hukutamtoto wa kiume ana matendo ya kikekike, anasauti ya kike, na mara nyingi huyumtoto ataishia kuwa shoga,

SO NDO MADHARA YA HIVI VIDONGE PAMOJA NA SINDANO, ILA KWA HIZO NJIANYINGINE ALINIELEZA HAZINA SHIDA, NA WAZUNGU WAO WANAFAHAMU HAYA NA HAWATUMIIVIDONGE HIVYO.

NB: HII NI ENDAPO MWANAMKE ATAVITUMIA KWA MUDA MREFU SANA

Kinga ya mimba na madhara yake kwa wanawake
Teen_Pregnancy_Prevention.jpg

WANAWAKE wengi hasa waishio nchi zinazoendelea wamekuwa wakipanga uzazi kwa kutumia dawa wanazopewa na ushauri wa namna ya kuzitumia. Lengo la ushauri huo ni kuepuka kuzaa bila mpangilio huku wakiaminishwa kuwa dawa hizo zinawasaidia.

Dawa hizo licha kuwapatia madhara, lakini wengi wao wamekuwa wakikaa kimya na kuugulia madhara wanayoyapata, tena bila kujaza fomu ambazo baadhi ya watumiaji wamedai kuwa hawafahamu lolote kuhusiana nazo. Mbali na shirika hilo kutetea uhai nchini, pia huwa linazunguka barani Afrika kueleza na kutetea madhara yatokanayo na dawa hizo, utoaji mimba, elimu kwa vijana, usafi wa roho na mambo mengine.

Katika utafiti niliofanya mkoani Mbeya na vitongoji vyake, ukiandaliwa na kudhaminiwa na Shirika la Kutetea Uhai wa Binadamu Tanzania (PROLIFE), niligundua kuwapo kwa wanawake wengi ambao wamepata madhara baada ya matumizi ya dawa hizo. Kabla sijaendelea na namna utafiti ulivyofanyika na madhara waliyoyapata, nianze kwa kueleza aina ya dawa na vidhibiti mimba vitumiwavyo.

Kuna aina tano ya vidhibiti mimba, nazo ni vidonge vya majira vitumiavyo chachu za bandia za projestorini na estrojeni zilizotengenezwa katika maabara ambapo mwanamke humeza kila siku. Zipo aina mbalimbali za vidonge, majina ya vidonge hutegemea aina na kiwango cha chachu zilizowekwa.

  • [*=1]Vidonge vyenye chachu ya estrojeni pekee huitwa vidonge na

    [*=1]vidonge vyenye mchanganyiko wa chachu ya estrojeni na projestini huitwa vidonge mchanganyiko.

Vidonge vyenye chachu aina ya projestini pekee huitwa: Progestorene Only Pills (POP) au Low Dose Pill au Mini Pill. Leo hii vidhibiti mimba vingi vimetengenezwa kwa chachu hii pekee ambayo ni morning After Pills, RU486, Emmergency Contraceptives.Aina ya pili ni vipandikizi ambapo mashirika yanayoendeleza njia za kisasa za kupanga uzazi wanasifia vipandikizi, kama ni njia nzuri na salama kwa wanawake wanaotumia.

Mashirika hayo yanadai kuwa, njia hii ni rahisi kwani inaondoa ile adha ya kumeza vidonge kila siku, zoezi ambalo baadhi ya watumiaji husahau.Hii ni chachu au homoni iitwayo ‘levonorgestrel' inayowekwa katika vifuko 6. Baada ya kuwekwa, huanza kufanya kazi saa 24 hadi miaka 5. Kila kifuko huwekwa mg 36 za chachu ya ‘crystalline levonorgestrel' na kila kimoja kina urefu wa mm 34 na upana wa mm 2.4. Kiasi cha mg 30 ya projestini husambazwa katika damu kila siku.

Aina ya tatu ni kondomu inayotumika kwa mwanaume na mwanamke pia. Kwa kawaida kifaa hiki hubana kufuatana na umbile la mtu.Kondomu zimegawanyika katika aina tatu; ya kwanza ni zile zilizotengenezwa kwa utumbo wa kondoo zinazosemekana kuwa hazina uwezo mkubwa zikitumika kama kidhibiti mimba.

Aina ya pili ni zile zilizotengenezwa kutokana na mpira wa latex. Watengenezaji wanazisifia kuwa na ubora mkubwa zinapotumika au kama kidhibiti mimba au kwa lengo la kudhibiti kuenea kwa maambukizo ya magonjwa ya zinaa ikiwemi virusi vya ukimwi (VVU). Aina ya tatu ni kondomu zilizotengenezwa kutokana na mchanganyiko wa mpira na vitu vingine ziitwazo "polyurethane." Soko la kondomu limepata umaarufu zaidi kuanzia miaka ya 1980 kufuatia kuzuka na kuenea kwa janga la ukimwi.

Aina ya nne ya vidhibiti mimba ni kitanzi. Hiki ni kifaa kidogo cha plastiki chenye vinyuzi mwishoni, ambacho huwekwa kwenye mji wa mimba kupitia uke. Mtumiaji anaweza kugusa nyuzi hizo kama anataka kujua kitanzi alichoweka bado kipo. Baadhi ya wanawake ambao nilipata kuzungumza nao baada ya Mkurugenzi wa Prolife, Emil Hagamu kutoa mafundisho, walieleza madhara na kusema kuwa mwanzo hawakujua wanaumwa nini, na matatizo yao yanatokana na nini.

Scola Yusuph alieleza: "Mimi nilitumia vidonge, lakini nikawa natoa harufu mbaya katika sehemu zangu za siri na nilipimwa nikaambiwa nina fangasi." Naye Agness Raphaely anasema baada ya kutumia sindano aina ya depo provera akawa hajisikii hamu ya tendo la ndoa japo kabla ya kutumia alikuwa akifurahia.

Zawadi Kilembe ameeleza kuwa, alichoma sindano Januari 13 mwaka huu na akaanza kupata siku zake mfululizo hadi Aprili 17.Anasema alikuwa anaumwa sana kila siku hadi kufikia kulazwa, na kusema madhara mengine aliyopata ni kukonda, kichefuchefu, kichwa kuuma, kuumwa tumbo na chembe moyo.

Katika tafiti ya kwanza iliyoshirikisha zaidi ya wanawake 350, wanawake 150 kati yao walieleza madhara waliyoyapata kutokana na dawa hizo.Tafiti hii pia iliendelea hadi Mbeya vijijini ambako nilibahatika kukutana na wanawake wa Kanisa la Moravian katika Kijiji cha Igoma, ambao wanaeleza matatizo wanayoyapata baada ya kutumia dawa za uzazi wa mpango.

Elizabeth Brayson anasema baada ya kutumia vidonge alipata matatizo ya kuumwa kichwa na kutoka damu mfululizo. Anasema baada ya kupata shida hiyo, aliamua kwenda hospitali na kushauriwa abadilishe na kuweka vipandikizi maarufu vya vijiti. Imelda Mwakilasa anasema baada ya kuchoma sindano moja alikosa hamu ya tendo la ndoa hali iliyosababisha kuwa na mgogoro wa mara kwa mara na mumewe, na ilimchukua miaka minne na alipata kizunguzungu na kichwa kuuma, kiasi kwamba hata alipokunywa dawa kilikuwa hakiponi.

Hao ni baadhi tu ya wanawake ambao wameumizwa na matumizi ya dawa hizo. Mkurugenzi wa Prolife, Hagamu, anaeleza dhima nzima ya shirika hilo na kusema kuwa ni kulinda, kutetea na kudumisha uhai wa binadamu, kutetea hadhi na heshima yao kwani vidhibiti mimba vinaharibu hekalu la Mungu. Dhima nyingine ni kufundisha njia za uzazi wa mpango kupitia maumbile ya mwanamke, elimu ya usafi wa moyo, na kutengeneza taifa la mtetezi wa uhai.

Njia mbalimbali zitumikazo kuzuia mimba

fertility_awareness.png

[SUB]Fertility awareness-based methods-or natural family planning-are all about tracking your menstrual cycle to determine the days that you can get pregnant. The tricky part is actually knowing when those days are. To do that, you'll need to pay very close attention to your body and its patterns. Here we list all the different ways you can monitor your day-to-day fertility.

[/SUB]
the_pill.png

"The Pill" is a pill. (How's that for stating the obvious?) Some people call it "oral contraception." You take it once a day, at the same time every day. There are lots of different kinds of pills on the market, and new ones come out all the time. They all work by releasing hormones that keep your ovaries from releasing eggs. The hormones also thicken your cervical mucus, which helps to block sperm from getting to the egg in the first place.

female_condom.png

A female condom is a pouch you insert into your vagina. It's not the prettiest thing in the world (it looks a bit like a floppy, clear elephant trunk) but it does give you more control than a male condom when it comes to preventing STIs. Female condoms work the same way that male condoms do, except that you wear one on the inside instead of sticking it on a penis. They keep the guy's sperm inside the condom and out of your vagina.

diaphragm.png

A diaphragm is a shallow, dome-shaped cup made of latex or silicone. (Honestly, it looks like Meg Griffin's hat on The Family Guy. Except it's off-white and only a few inches in diameter.) You insert the diaphragm into your vagina. Then it covers your cervix and keeps sperm out of your uterus. One super important thing to remember: For a diaphragm to work effectively, you need to use it with spermicide.
 
3. Vidonge
Kuna aina nyingi ya vidonge vya uzazi wa mpango . vidonge hivi unatakiwa kuchukua kila siku kama ulivyoa agizwa
na doctor . Vidonge huwa havifanyi kazi kama umetapika tu baadaya kuchukua au kama una diarrhea. vidonge pia vina
Side effects mfano, kuongeza uzito, kuumwa na kichwa , na wengine huvimba matiti. Vidonge vina athari tofauti kwa
kila mtu.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-better-be-safe-than-sorry-6.html#post3065424
 
3. Vidonge
kuna aina nyingi ya vidonge vya uzazi wa mpango . Vidonge hivi unatakiwa kuchukua kila siku kama ulivyoa agizwa
na doctor . Vidonge huwa havifanyi kazi kama umetapika tu baadaya kuchukua au kama una diarrhea. Vidonge pia vina
side effects mfano, kuongeza uzito, kuumwa na kichwa , na wengine huvimba matiti. Vidonge vina athari tofauti kwa
kila mtu.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-better-be-safe-than-sorry-6.html#post3065424

lizzy;
ahsante sana kwa maelezo na ushauri wako.
 
Lizzy na wengineo;
Hivi kwenye hivyo vidonge, je kuna aina yoyote ile unayoifahamu ambayo atleast side effects zake ni chache kulingnisha na vidonge vingine.
 
Binafsi sijawahi kutumia hivyo sio mtaalam kivile ila ngoja nikuangalizie.
 
Wachangiaji sio vidonge tu, karibia njia zote za kisasa za birth control ni noma.
Kitanzi - alikonda sana.
Njiti - alinenepa sana
Vidonge - alikuwa haoni siku zake
Condom - sipati ile ...... (mnajua)
 
WANAJF;
Jamani mimi nina ndugu ambaye anasumbuliwa na upungufu wa damu kwa muda mrefu sasa. Tatizo lilianza pale alipojifungua mtoto miaka kama 3 iliyopita. Mtoto wake hajambo lkn huyo shemeji yangu amekuwa na tatizo la kutokwa na damu nyingi sana ktk kipindi cha siku zake. Hili tatizo lilianza mara alipojifungua mpaka leo, na hilo limesababisha kuwepo na damu kidogo mwilini. Kama ni Hospitali, basi karibia Hospitali zote kubwa DAR (Private na Public) amekwenda na kuonana na Madaktari Bingwa wa Wanawake na mara zote hizo hajapata msaada. Amejaribu kutumia hata dawa za asili,na kutumia matunda, Bitruits na hata mboga za majani sana lkn bado haijasaidia na mara zote damu yake haijawahi kuzidi 6.7. Baadhi ya Madaktari Bingwa waliishia kumshauri atoe kizazi, kwamba ndipo atakaopona, hatahivyo bado hawajafikia huo uamuzi yeye na kaka yangu.

Sasa wiki iliyopita alikwenda kwa DR. Bingwa mwingine wa wanawake na kushauriwa kwamba atumie VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO kwa miezi 3 ili aweze kuona kama tatizo litaendelea ama litakoma. Huyo Dr., anasema hilo linaweza likawa njia No. 1 kabla ya kuopt kufanyiwa Operation. Sasa Shemeji na kaka kabla hawajafikia huo uamuzi wa kutumia hivyo vidonge wamekuwa na maswali mengi juu ya nini madhara ya hivyo vidonge? je inaweza ikawa njia muafaka?

Hivyo GT; nimeona niwashirikishe ili na mimi nipate cha kuwashauri, kwani mambo hayo siyo fani yangu. Naombeni ushauri ukilenga ktk haya;
1. Je, kuna dawa yoyote inaweza kusaidia tatizo hilo?
2. Je, wakubali aanze kutumia hivyo Vidonge?
3. Je, ni nini madhara ya hivyo vidonge?
4. N.K

Natanguliza Shukrani.
RDI.

Mkuu mpe pole sana shemejio!
Ila nina mashaka na huko kusitasita kwenu nikioanisha na kuchelewa kupona mgonjwa wenu.
Just think; Unaenda kwa dr bingwa anakushauri moja mbili tatu. Bado unasema ngoja tukajifikirie ?!
Nwy tuyaache hayo.
Mkuu hata kama hizo pills zina madhara makubwa kiasi gani hayafikii mtu kutembea na hb level under 6.7g/dl.
Wakati wowote unapoongelea matumizi ya dawa jiulize kwanza, kama 'advantages overwheels side effects'.
Bila hilo watu wasingetumia ARV.
 
Mkuu kunaDr mmoja aliwahi kuniambia nisije kukubali mke wangu kutumia Vidonge vya uzaziwa mpango pamoja na sindano za uzazi wa mpango.

- Mkuu bora hizo njia nyingine lakini si vidonge na sindano, hii kituni balaa tupu. Madara yake

MADARA YA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO PAMOJA NI SINDANO KWA MJIBU WAHUYO DR WA KIZUNGU NI KWAMBA.
MWANAMKE AKITUMIA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO KWA MUDA MWINGI SANA,HIVI VIDONGE HUWA VINA TENGENEZA HOMONE NYINGI SANA ZA KIKE, SO KAMA MWANAMKEATAVITUMIA KWA MUDA MREFU BILA KUZAA NI KWAMBA HIVI VIDONGE VITAMFANYA KUWA NAHOMONE ZA KIKE NYINGI SANA KUPITA KIWANGO. SASA BASI

1. Mama atakapo amua kushika mimba hizi homone nyingi sana alizotengeneza zinahamia kwa mtoto, na endapo mama atazaa mtoto wa kike ni kwambahuyu mtoto wa kike atakuwa na homoni nyingi sana za kike na atawahi sanakuvunja ungo na ndo maana saazingine hukuta mtoto mdogo sana wa kike matatiyalisha chomoka, hii si kwamba inasababishwa na kuku na mayai tu no ni pamojana mama yake kuwa na homon nying sana za kike zilizo pelekea mtoto nae kuwanazo nyingi

2. Endapo mtoto aliye zaliwa ni wa kiume hapo ndo balaa zaidi, huyumtoto wa kiume atakuwa na homon nyingi sana za kike na madhara yake ndo hukutamtoto wa kiume ana matendo ya kikekike, anasauti ya kike, na mara nyingi huyumtoto ataishia kuwa shoga,

SO NDO MADHARA YA HIVI VIDONGE PAMOJA NA SINDANO, ILA KWA HIZO NJIANYINGINE ALINIELEZA HAZINA SHIDA, NA WAZUNGU WAO WANAFAHAMU HAYA NA HAWATUMIIVIDONGE HIVYO.

NB: HII NI ENDAPO MWANAMKE ATAVITUMIA KWA MUDA MREFU SANA

Wachangiaji sio vidonge tu, karibia njia zote za kisasa za birth control ni noma.
Kitanzi - alikonda sana.
Njiti - alinenepa sana
Vidonge - alikuwa haoni siku zake
Condom - sipati ile ...... (mnajua)

Ahsante ndugu yangu.
 
Mkuu kunaDr mmoja aliwahi kuniambia nisije kukubali mke wangu kutumia Vidonge vya uzaziwa mpango pamoja na sindano za uzazi wa mpango.

- Mkuu bora hizo njia nyingine lakini si vidonge na sindano, hii kituni balaa tupu. Madara yake

MADARA YA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO PAMOJA NI SINDANO KWA MJIBU WAHUYO DR WA KIZUNGU NI KWAMBA.
MWANAMKE AKITUMIA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO KWA MUDA MWINGI SANA,HIVI VIDONGE HUWA VINA TENGENEZA HOMONE NYINGI SANA ZA KIKE, SO KAMA MWANAMKEATAVITUMIA KWA MUDA MREFU BILA KUZAA NI KWAMBA HIVI VIDONGE VITAMFANYA KUWA NAHOMONE ZA KIKE NYINGI SANA KUPITA KIWANGO. SASA BASI

1. Mama atakapo amua kushika mimba hizi homone nyingi sana alizotengeneza zinahamia kwa mtoto, na endapo mama atazaa mtoto wa kike ni kwambahuyu mtoto wa kike atakuwa na homoni nyingi sana za kike na atawahi sanakuvunja ungo na ndo maana saazingine hukuta mtoto mdogo sana wa kike matatiyalisha chomoka, hii si kwamba inasababishwa na kuku na mayai tu no ni pamojana mama yake kuwa na homon nying sana za kike zilizo pelekea mtoto nae kuwanazo nyingi

2. Endapo mtoto aliye zaliwa ni wa kiume hapo ndo balaa zaidi, huyumtoto wa kiume atakuwa na homon nyingi sana za kike na madhara yake ndo hukutamtoto wa kiume ana matendo ya kikekike, anasauti ya kike, na mara nyingi huyumtoto ataishia kuwa shoga,

SO NDO MADHARA YA HIVI VIDONGE PAMOJA NA SINDANO, ILA KWA HIZO NJIANYINGINE ALINIELEZA HAZINA SHIDA, NA WAZUNGU WAO WANAFAHAMU HAYA NA HAWATUMIIVIDONGE HIVYO.

NB: HII NI ENDAPO MWANAMKE ATAVITUMIA KWA MUDA MREFU SANA

Ahsante ndugu yangu. Yeye kaambiwa atumie kwa muda wa miezi 3 tu, then aache ili Dr. aweze kuona kama tatizo lake litaweza kutibiwa.
 
Mkuu mpe pole sana shemejio!
Ila nina mashaka na huko kusitasita kwenu nikioanisha na kuchelewa kupona mgonjwa wenu.
Just think; Unaenda kwa dr bingwa anakushauri moja mbili tatu. Bado unasema ngoja tukajifikirie ?!
Nwy tuyaache hayo.
Mkuu hata kama hizo pills zina madhara makubwa kiasi gani hayafikii mtu kutembea na hb level under 6.7g/dl.
Wakati wowote unapoongelea matumizi ya dawa jiulize kwanza, kama 'advantages overwheels side effects'.
Bila hilo watu wasingetumia ARV.

Ahsante ndugu yangu kwa ushauri wako.
 
kwa huo ushauri wa doctor sijui lakini kwa njia salama ya uzazi wa mpango atumie njia ya asili nimethubutu nimeweza na sasa nasonga nayo mbele.hizo nyingine kama sindano na pills hata ukienda klinic uwezekano wa kusababisha kansa upo sasa ya nini tabu na miaka karibu miwili natumia njia ya asili kwa kweli ni salama na inalinda afya usitake kunenepa kama kiboko kwa pills au kukonda kama njiti kwa sindano
 
njia salama ni njia ya asili nimetumia takriban miaka miwili bado nipo fiti just umakini wako tu
 
Kinga ya mimba na madhara yake kwa wanawake
Teen_Pregnancy_Prevention.jpg

WANAWAKE wengi hasa waishio nchi zinazoendelea wamekuwa wakipanga uzazi kwa kutumia dawa wanazopewa na ushauri wa namna ya kuzitumia. Lengo la ushauri huo ni kuepuka kuzaa bila mpangilio huku wakiaminishwa kuwa dawa hizo zinawasaidia.

Dawa hizo licha kuwapatia madhara, lakini wengi wao wamekuwa wakikaa kimya na kuugulia madhara wanayoyapata, tena bila kujaza fomu ambazo baadhi ya watumiaji wamedai kuwa hawafahamu lolote kuhusiana nazo. Mbali na shirika hilo kutetea uhai nchini, pia huwa linazunguka barani Afrika kueleza na kutetea madhara yatokanayo na dawa hizo, utoaji mimba, elimu kwa vijana, usafi wa roho na mambo mengine.

Katika utafiti niliofanya mkoani Mbeya na vitongoji vyake, ukiandaliwa na kudhaminiwa na Shirika la Kutetea Uhai wa Binadamu Tanzania (PROLIFE), niligundua kuwapo kwa wanawake wengi ambao wamepata madhara baada ya matumizi ya dawa hizo. Kabla sijaendelea na namna utafiti ulivyofanyika na madhara waliyoyapata, nianze kwa kueleza aina ya dawa na vidhibiti mimba vitumiwavyo.

Kuna aina tano ya vidhibiti mimba, nazo ni vidonge vya majira vitumiavyo chachu za bandia za projestorini na estrojeni zilizotengenezwa katika maabara ambapo mwanamke humeza kila siku. Zipo aina mbalimbali za vidonge, majina ya vidonge hutegemea aina na kiwango cha chachu zilizowekwa.

  • [*=1]Vidonge vyenye chachu ya estrojeni pekee huitwa vidonge na

    [*=1]vidonge vyenye mchanganyiko wa chachu ya estrojeni na projestini huitwa vidonge mchanganyiko.

Vidonge vyenye chachu aina ya projestini pekee huitwa: Progestorene Only Pills (POP) au Low Dose Pill au Mini Pill. Leo hii vidhibiti mimba vingi vimetengenezwa kwa chachu hii pekee ambayo ni morning After Pills, RU486, Emmergency Contraceptives.
Aina ya pili ni vipandikizi ambapo mashirika yanayoendeleza njia za kisasa za kupanga uzazi wanasifia vipandikizi, kama ni njia nzuri na salama kwa wanawake wanaotumia.

Mashirika hayo yanadai kuwa, njia hii ni rahisi kwani inaondoa ile adha ya kumeza vidonge kila siku, zoezi ambalo baadhi ya watumiaji husahau.
Hii ni chachu au homoni iitwayo ‘levonorgestrel' inayowekwa katika vifuko 6. Baada ya kuwekwa, huanza kufanya kazi saa 24 hadi miaka 5. Kila kifuko huwekwa mg 36 za chachu ya ‘crystalline levonorgestrel' na kila kimoja kina urefu wa mm 34 na upana wa mm 2.4. Kiasi cha mg 30 ya projestini husambazwa katika damu kila siku.

Aina ya tatu ni kondomu inayotumika kwa mwanaume na mwanamke pia. Kwa kawaida kifaa hiki hubana kufuatana na umbile la mtu.
Kondomu zimegawanyika katika aina tatu; ya kwanza ni zile zilizotengenezwa kwa utumbo wa kondoo zinazosemekana kuwa hazina uwezo mkubwa zikitumika kama kidhibiti mimba.

Aina ya pili ni zile zilizotengenezwa kutokana na mpira wa latex. Watengenezaji wanazisifia kuwa na ubora mkubwa zinapotumika au kama kidhibiti mimba au kwa lengo la kudhibiti kuenea kwa maambukizo ya magonjwa ya zinaa ikiwemi virusi vya ukimwi (VVU). Aina ya tatu ni kondomu zilizotengenezwa kutokana na mchanganyiko wa mpira na vitu vingine ziitwazo "polyurethane." Soko la kondomu limepata umaarufu zaidi kuanzia miaka ya 1980 kufuatia kuzuka na kuenea kwa janga la ukimwi.

Aina ya nne ya vidhibiti mimba ni kitanzi. Hiki ni kifaa kidogo cha plastiki chenye vinyuzi mwishoni, ambacho huwekwa kwenye mji wa mimba kupitia uke. Mtumiaji anaweza kugusa nyuzi hizo kama anataka kujua kitanzi alichoweka bado kipo. Baadhi ya wanawake ambao nilipata kuzungumza nao baada ya Mkurugenzi wa Prolife, Emil Hagamu kutoa mafundisho, walieleza madhara na kusema kuwa mwanzo hawakujua wanaumwa nini, na matatizo yao yanatokana na nini.

Scola Yusuph alieleza:
"Mimi nilitumia vidonge, lakini nikawa natoa harufu mbaya katika sehemu zangu za siri na nilipimwa nikaambiwa nina fangasi." Naye Agness Raphaely anasema baada ya kutumia sindano aina ya depo provera akawa hajisikii hamu ya tendo la ndoa japo kabla ya kutumia alikuwa akifurahia.

Zawadi Kilembe ameeleza kuwa, alichoma sindano Januari 13 mwaka huu na akaanza kupata siku zake mfululizo hadi Aprili 17.
Anasema alikuwa anaumwa sana kila siku hadi kufikia kulazwa, na kusema madhara mengine aliyopata ni kukonda, kichefuchefu, kichwa kuuma, kuumwa tumbo na chembe moyo.

Katika tafiti ya kwanza iliyoshirikisha zaidi ya wanawake 350, wanawake 150 kati yao walieleza madhara waliyoyapata kutokana na dawa hizo.
Tafiti hii pia iliendelea hadi Mbeya vijijini ambako nilibahatika kukutana na wanawake wa Kanisa la Moravian katika Kijiji cha Igoma, ambao wanaeleza matatizo wanayoyapata baada ya kutumia dawa za uzazi wa mpango.

Elizabeth Brayson anasema baada ya kutumia vidonge alipata matatizo ya kuumwa kichwa na kutoka damu mfululizo. Anasema baada ya kupata shida hiyo, aliamua kwenda hospitali na kushauriwa abadilishe na kuweka vipandikizi maarufu vya vijiti. Imelda Mwakilasa anasema baada ya kuchoma sindano moja alikosa hamu ya tendo la ndoa hali iliyosababisha kuwa na mgogoro wa mara kwa mara na mumewe, na ilimchukua miaka minne na alipata kizunguzungu na kichwa kuuma, kiasi kwamba hata alipokunywa dawa kilikuwa hakiponi.

Hao ni baadhi tu ya wanawake ambao wameumizwa na matumizi ya dawa hizo. Mkurugenzi wa Prolife, Hagamu, anaeleza dhima nzima ya shirika hilo na kusema kuwa ni kulinda, kutetea na kudumisha uhai wa binadamu, kutetea hadhi na heshima yao kwani vidhibiti mimba vinaharibu hekalu la Mungu. Dhima nyingine ni kufundisha njia za uzazi wa mpango kupitia maumbile ya mwanamke, elimu ya usafi wa moyo, na kutengeneza taifa la mtetezi wa uhai.

Njia mbalimbali zitumikazo kuzuia mimba

fertility_awareness.png

[SUB]Fertility awareness-based methods-or natural family planning-are all about tracking your menstrual cycle to determine the days that you can get pregnant. The tricky part is actually knowing when those days are. To do that, you'll need to pay very close attention to your body and its patterns. Here we list all the different ways you can monitor your day-to-day fertility.

[/SUB]
the_pill.png

"The Pill" is a pill. (How's that for stating the obvious?) Some people call it "oral contraception." You take it once a day, at the same time every day. There are lots of different kinds of pills on the market, and new ones come out all the time. They all work by releasing hormones that keep your ovaries from releasing eggs. The hormones also thicken your cervical mucus, which helps to block sperm from getting to the egg in the first place.

female_condom.png

A female condom is a pouch you insert into your vagina. It's not the prettiest thing in the world (it looks a bit like a floppy, clear elephant trunk) but it does give you more control than a male condom when it comes to preventing STIs. Female condoms work the same way that male condoms do, except that you wear one on the inside instead of sticking it on a penis. They keep the guy's sperm inside the condom and out of your vagina.

diaphragm.png

A diaphragm is a shallow, dome-shaped cup made of latex or silicone. (Honestly, it looks like Meg Griffin's hat on The Family Guy. Except it's off-white and only a few inches in diameter.) You insert the diaphragm into your vagina. Then it covers your cervix and keeps sperm out of your uterus. One super important thing to remember: For a diaphragm to work effectively, you need to use it with spermicide.
 
sterilization.png

Sterilization is a procedure that closes or blocks your fallopian tubes so you can't get pregnant. (Your tubes are where eggs and sperm meet. If they can't meet, they can't hook up.) Guys also have a sterilization option-a vasectomy blocks the tubes that carry a man's sperm. Talk to your doctor to learn more and be sure to ask about state and federal requirements, like age restrictions and waiting periods.

spermicide.png

"Spermicide" describes a bunch of different creams, films, foams, gels, and suppositories that contain chemicals that stop sperm from moving. You insert it deep in your vagina, so it also keeps sperm from getting through your cervix and into your uterus.
 
the_patch.png

The patch is a thin, beige piece of plastic that looks like a square Band-Aid. It's a little less than two inches across, and comes in one-and only one-color. (Beige.) You stick the patch on your skin and it gives off hormones that prevent your ovaries from releasing eggs. The hormones also thicken your cervical mucus, which helps to block sperm from getting to the egg in the first place. Ortho Evra is the medical name, but most people just call it the patch.

the_ring.png

The ring (brand name: NuvaRing) is a small, bendable ring that you insert into your vagina. (It kind of looks like one of those jelly bracelets from the 80s, but it feels a tiny bit stiffer.) You leave it in place for three weeks at a time, then take it out for the fourth week. The ring works by giving off hormones that prevent your ovaries from releasing eggs. The hormones also thicken your cervical mucus, which helps to block sperm from getting to the egg in the first place.
 
Back
Top Bottom