mbona mim nina 23 age na sijawahi kugegedana!
Gegedo linashibisha eti?
Inategemea,Sio lazima vizuizi visAbabishe,mbona vinatumika na haviathiri,njiti nimetumia sana haijaniletea chochote.
unene wa wanawake wengi hasa walioolewa, walioachika na wanaosex on regular basis ni kwasababu ya mbinu za uzazi wa mpango...sindano na vidonge. Kwani hamuwezi kukaa tu bila kugegedwa
Ebu naomba somo hapa, mi dume ila niko mdadisi. Njiti inafanywaje mpaka inazuia mimba?
tuache kugegedwa kwakuwa tunaolewa ili tukafue eeeh!!!???
Hata mke hana, ila ushauri wa akiba huuMkuu kama una huruma kutoka moyoni kwa wanawake. Na hili linakukera basi katika njia mojawapo ya kumkinga mwanamke asimamie uzazi wa mpango ni kutumia condom unaonaje ukianza kumsaidia shemeji yetu kwa wewe kuvaa condom na uelimishe na wengine ili tupunguze vitambi vya wanawake.
hata mimi pia sijawahi kugegeda hata ndotoni.. ni 24
mi nimesikia eti mbegu za mnyonyo ni dawa ya uzazi wa mpango je nikweli?
Mbegu 1 Mwaka 1 bila mtoto!! Just hearsay