Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

Mkuu zubedayo_mchuzi, kulinfaba ba mwanzo ulivyosema "wale waliotumia"..niseme wazi sijawahi kutumia ...LAKINI

-Mbona madhara haya yanafahamika au unaongelea lipi?
-Si kuna njia nyingi za uzazi wa mpango?
-Dawa YEYOTE ile ina madhara.. ni kwa kiwango gani cha madhara?Ndani ya muda gani kutarajia madhara hayo, je mtumiaji alipata ushauri(wa aina za njia za uzaxi wa mpango, madhara n.k) kabla ya kutumia ndiyo issue nadhani.

-
Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.idadi kubwa ya wale wanaopata mimba za nje ya kizazi hapa Tanzania waliwahi kuugua magonjwa ya zinaa kama gonorea na chlamydia na wengi wao hawana rekodi ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango. hata wale wenye kansa ya shingo ya uzazi wengi wao walipata maambukizo ya virusi viitwavyo Human papilloma virus kwenye shingo ya uzazi.na ugonjwa huu wa kansa ya shingo ya uzazi ni nadra sana kumpata mwanamke ambaye hajashiriki tendo la ndoa.sasa huyu mleta mada amekopi taarifa za kwenye mtandao na kuzileta hapa.aulize kwanza ili apewe elimu.isitoshe hakuna dawa isiyo na madhara .
 
kwa hiyo unamaanisha hz contraceptive madhara yake ni kdg? Hebu nieleweshe maana mie hata sielewi tena upande upi unafaa.

kwa hiyo
 
Mi nilipojifungua mtoto wangu wa pili mwaka 2005 nilichoma sindano fasta,zile za miezi mitatu!weh!nilikuwa mkavu mfano hakuna !yani full kukauka jamaa akijionea cha kufia nini!TUPA KULE!
zilivousha muda wake sikuchoma tena
lakini sikuwa na amani nikaenda tena hospitali
nikaambiwa vijiti ni poa
nikaweka vyenyewe havikuwa na shida ile ila sasa nilinenepaje!yani kilo 90 ilikuwa ndo wimbo wa taifa!nilikaa nazo miaka 3 nikaona mh!hebu nivitoe basi nikatoa mwaka 2009,since niliona imetosha nataka kuongeza mtoto
mh mpaka leo hakuna cha kuconcieve wala nini!imenisumbuaaa lakini mwisho nimeshakubali matokeo!nasubiri tu itakapompendeza YEYE!
though najua nilishaharibu cycle yangu kwa kuweka hayo mavitu lakini karibu mwaka sasa imekaa sawa!so naamini kitatiki tu Mungu bariki!
ila kusema ukweli haya madude sio mazuri basi tu watu tunapenda short cut kwenye kila kitu!kutumia kalenda ndo mpango mzima since
-inaongeza ukaribu wa wanandoa(how sweet kusubiriana):biggrin:
-inamsaidia mwanamke kujitambua mwili wake
-inaongeza kiwango cha kuwajibika
-inampa mwanamke na mwanaume utashi juu ya miii yao!

Dada uweweka mambo vizuri sana. Kwa madhara yalivyo mabaya ingependeza sana kila partner ampende mke wake na asikubali kabisa kutaka atumie hayo majira yenu. Utafurahi vipi mkeo asizae tena au apate cancer? Nawapeni ushuhuda, mimi na mwenzangu tulikataa kabisa suala la hayo majira yao, cha msingi ni bora kuvumilia zile siku hatari au ikishindikana basi tumieni condom tu. Hakika kwa njia ya natural tulizaa watoto wetu wote na mke wangu hana tatizo kabisa na magonjwa ya akina mama. Kuna binamu yangu aliweka hivyo vijiti na alikaa miaka 15 bila mtoto, tena ilibidi atembelee nchi za watu ili asafishwe sana damu yake. Kimsingi, tuwe wavumilivu na itawezekana tu kama kweli una upendo wa dhati kwa mke wako.
 
Ulaya na marekani ni watumiaji wazuri sana wa njia hizi, na matumizi yapo kwa zaidi ya 40%, lakini wao hawaathiriki sana kama sisi. Kutokana na tafiti zao imeonekana kwamba madhara ni madogo sana kuliko faida zake!..Ila nna wasiwasi kama na kwetu ni hivyo. Nadhani QUALITY ya hizi zinazokuja kwetu ambazo zinatolewa BURE, ina walakini!-Kumbuka RAHISI NI GHALI
Hao unaosema na nchi nyingi tu tambua kuwa zile za kwao ni tofauti kabisa na za kwetu!!! Nyingi za third world ni majaribio au ni kuwa kiwanda kilishakuwepo na nchi zao zinataka kodi, hivyo wanaambiwa kabisa wazalishe kwa ajili ya nchi nyingine!!! Ngozi nyeupe ni wanyama sana, imagine jinsi gani China inafanya majaribio ya bidhaa zao hasa madawa kwa waafrica, yet tuna mamlaka za Chakula na Dawa na Viwango.
 
dahq hali ni tete, naahukuru Mungu cjawahi tumia, ss nikiingia huko ndoani nitatumia kalenda tu km kawaida,its useful
 
condom nazo zinasababisha matatizo ya kansa ya shingo ya uzazi...yale mafuta yake ndo chanzo cha kansa...eeh bwana eeh uu ni mwendo wa kuzaa tu bila hata kujipanga

Aisee mi itafahamika tu,..cdm ndo ctaki hata kuzickia,(zinawasha km nn)....itajulikana huko2,km ni kumwaga/kutoa nje watever the case, bt no cdm wala hizo njia nyingine
 
kwa hiyo unamaanisha hz contraceptive madhara yake ni kdg? Hebu nieleweshe maana mie hata sielewi tena upande upi unafaa.

kwa hiyo
mie napingana na mleta mada kuhusiana na madhara yaliyoelezwa pale.tena hivi vidonge vinamkinga mama asipate endometrial carcinoma, na sio rahisi akapata uvimbe kwenye ovaries kama anatumia hivi vidonge kama alivyoelekezwa.njia za uzazi wa mpango ziko nyingi, na kabla hujaanza kutumia, wataalamu wanakupima na kukushauri njia ipi inafaa kutokana na afya yako.ila siku hizi watu wanaenda pharmacy wanajinunulia na kutumia bila kupimwa.wakipata shida wanarudi tena kwa mfamasia kuomba ushauri badala ya kwenda kwa mtaalamu husika.wengine wanasoma kwenye internet then wananunua na kutumia bila kuonana na wataalamu wazoefu.
 
Aisee mi itafahamika tu,..cdm ndo ctaki hata kuzickia,(zinawasha km nn)....itajulikana huko2,km ni kumwaga/kutoa nje watever the case, bt no cdm wala hizo njia nyingine
huyo mwanaume mwenye ujasiri wa kutoka ndani yako wakati wa orgasm na huku pombe iko kichwani sijui.
 
mie napingana na mleta mada kuhusiana na madhara yaliyoelezwa pale.tena hivi vidonge vinamkinga mama asipate endometrial carcinoma, na sio rahisi akapata uvimbe kwenye ovaries kama anatumia hivi vidonge kama alivyoelekezwa.njia za uzazi wa mpango ziko nyingi, na kabla hujaanza kutumia, wataalamu wanakupima na kukushauri njia ipi inafaa kutokana na afya yako.ila siku hizi watu wanaenda pharmacy wanajinunulia na kutumia bila kupimwa.wakipata shida wanarudi tena kwa mfamasia kuomba ushauri badala ya kwenda kwa mtaalamu husika.wengine wanasoma kwenye internet then wananunua na kutumia bila kuonana na wataalamu wazoefu.

soma post zote then utoe ushauri
 
hivi kutumia vidonge vya kupanga uzazi vina madhara gani vikitumiwa kabla ya kuzaa?

kuna best yangu alikua anatumia hivyo vidonge alipotaka kubeba mimba akaacha ila ilichukua muda kubeba mimba na baada ya mwezi mmoja ile mimba ilitoka,hakukata tamaa akaendelea kutafuta right now ana mimba ya 2months..
Inaelekea baada ya kutumia menstruation cycle huvurugika na kuchukua muda kurud katika mfumo mzuri...
 
Back
Top Bottom