Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.idadi kubwa ya wale wanaopata mimba za nje ya kizazi hapa Tanzania waliwahi kuugua magonjwa ya zinaa kama gonorea na chlamydia na wengi wao hawana rekodi ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango. hata wale wenye kansa ya shingo ya uzazi wengi wao walipata maambukizo ya virusi viitwavyo Human papilloma virus kwenye shingo ya uzazi.na ugonjwa huu wa kansa ya shingo ya uzazi ni nadra sana kumpata mwanamke ambaye hajashiriki tendo la ndoa.sasa huyu mleta mada amekopi taarifa za kwenye mtandao na kuzileta hapa.aulize kwanza ili apewe elimu.isitoshe hakuna dawa isiyo na madhara .Mkuu zubedayo_mchuzi, kulinfaba ba mwanzo ulivyosema "wale waliotumia"..niseme wazi sijawahi kutumia ...LAKINI
-Mbona madhara haya yanafahamika au unaongelea lipi?
-Si kuna njia nyingi za uzazi wa mpango?
-Dawa YEYOTE ile ina madhara.. ni kwa kiwango gani cha madhara?Ndani ya muda gani kutarajia madhara hayo, je mtumiaji alipata ushauri(wa aina za njia za uzaxi wa mpango, madhara n.k) kabla ya kutumia ndiyo issue nadhani.
-