Ushuhuda kwa wale wanaokubaliana na ndoa

ni taasisi tu ya kijamii kama dini, dini naona umuhimu wake umeisha tunaweza kuacha, ila ndoa badobado kwanza

kulea watoto, kuzagamuana bila hofu, majukumu ya kijinsia kama kuzaa kwa wanawake, kutunza familia kwa wanaume, yote yanatekelezeka vizuri kwenye ndoa....

mambo ya undugu, kuwepo kwa kina shangazi, mabinamu yote ni kwasababu ya kuwepo kwa familia zilizotengenezwa kupitia ndoa

ndo njia nzuri ya matumizi ya rasilimali kwenye jamii, inakua rahisi kila mtu kupata mahitaji maalumu kwasababu kila mtu anakua na ndoa/familia yake
NAKAZIA
 
Back
Top Bottom