Ushuhuda kwa wale wanaokubaliana na ndoa

Ushuhuda kwa wale wanaokubaliana na ndoa

Good evening wakurungwa.

Ni muda sasa umepita tokea mzozo wa kataa ndoa, nadhani wale wanaokubaliana na ndoa hawakuwa na hoja zaidi ni hisia tu.

Nikikumbuka moja ya hoja yao kuu ni kwamba wanaoa ili uzeeni watunzwe na wake zao yaani wapikiwe, wafuliwe, waogeshwe n.k

Lakini tuliwapinga sana juu ya hoja hiyo lakini bila kupoteza muda ngoja niende kwenye ushuhuda wangu moja kwa moja.

Leo nikiwa hospital X nimeshuhudia Mume kamsindikiza Mke wake hospitali, kiufupi Mke hajiwezi hata kidogo, kachoka mbaya yuko hoi.

Hivyo Mume kachukua majukumu ya kumlea mke wake, na ugonjwa wa yule mwanamke ni wa kudumu.

Mwisho, kusudi la kuandika uzi sio kushangaa Mme kuuguza Ke, bali kutoa ushuhuda wa wale kubali ndoa kuwa hoja yao ni dhaifu sana, na hivyo hakuna guarantee ya kusema kwamba uzeeni, mume atapata shida.
TANZANIA [emoji1241] NI NCHI TAJIRI CHAPA KAZI
 
Waliooa na walioolewa,waache kuchepuka,na wadada au wakaka ambao hawajaoa wala kuolewa wasifanye mapenzi,hadi NDOA,happy wote wataoa na kuolewa,lakini hii mtu ameolewa,akitongozwa na ambaye hajaoa,anamtunuku au mume ameoa ila akitaka kuzagamua mtu ambaye si mkewe,anamzagamua.... NDOA inapoteza ladha.
 
Bora useme
 
Jamaa vip umekula makande!? Msaada uzeeni ni kusaidiana kwa pande zote mbili, hakuna uhakika kwamba mume ndio atasaidiwa na wala hakuna uhakika ndani atatangulia kufa..
 
Back
Top Bottom