Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 32,134
- 64,359
Uwe unaelewa.Kwa Hiyo Waliooa Hawanunui?!!!
Duuuh
Au maaskari hua wanakukamata ukiwa na mkeo?
Uwe unaelewa.Kwa Hiyo Waliooa Hawanunui?!!!
Duuuh
Kweli Wee Uko Mujiniii 😁😁😁Mzee mushi kapauza aliye nunua nayo anaendelea
Maana Hali hiyo kaikuta.... Hamna namna
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
😁😁😂😂 wanawake walipelekwa wapi?
Huenda ulikuwa mchongo, chamsingi badilika tu.
Km cyo basi ulikuwa na lengo la kuwachafua hao askari wakituo cha mabatini hususani huyo mwenyejina km la waziri mkuu wa sasa.A
Acha usheembee Wee,biashara ya ngono iko miilini mwa watu..matangazo ya nn?!!!
Corner Bar,Ambiance Ziko Toka Tuko Wadogo Hadi Leo tubaba!!
🤔Kwa dar
Km cyo basi ulikuwa na lengo la kuwachafua hao askari wakituo cha mabatini hususani huyo mwenyejina km la waziri mkuu wa sasa.
😁😁😁Hahahahaha pole sana, hio ni ajari kazini..! Karibu dsm umepata cha kusimulia ukirudi huko Chitoholi
Kuchepuka ni asili ya meNakupa siri ya kazi hapa..
usilale guest au lodge uliyochaguliwa na mwanamke asiye mkeo..
ukilala na mwanamke usiyemjua hakikisha funguo unajua wewe ulipoziweka..
usiokoteokote mwanamke ukampeleka kwako.
Uwe makini na Camera ya uliyelala naye..
Ukimwaga maji yako hakikisha yako salama..(dunia ina mengi hii vijana mkue sasa).
KUCHEPUKA NI GHARAMA UKITAKA UNAFUU NI RISK SANA, OTHERWISE CHAGUA UMPENDAYE MFUNGE PINGU MTAFUNANE MTAKAVYO, CHUMBANI, SEBULENI, JIKONI, BAFUNI, MZINGATIE LISHE BORA TU..
Sure!!Nitoe tu udhibitisho, kwamba hii stori hata kama imetungwa, maudhui yake ni uhalisia mtupu!!
Hata mi nadhani yeye ataishi mileleAsante kwa ushauri, wewe utaishi milele
Ambiance n Corner Bar na mabaharia wake...😁😁Sinza kuna wenyewe, pole zako.
Huwa wanachukua hela kwanza mkuuYule wako ulikua umeshamlipa? na kama ndio kwahiyo ulimpia askari ndo akapata raha sio!
Mara mkuuMtoa mada wewe ina maana hauna company dsm? Unatokea mkoa gani?
😂😂Usimuamini dem ambaye ni malay hata siku moja
Hata wkt ule jolly club mule ndani kulikuwa na nyumba pagale, wenyewe wanakuambia twende pale
Mamaeeee.... Ukivuaa tu polisi wa salenda au upanga haoooooo....
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app