Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

Nakupa siri ya kazi hapa..

usilale guest au lodge uliyochaguliwa na mwanamke asiye mkeo..
ukilala na mwanamke usiyemjua hakikisha funguo unajua wewe ulipoziweka..
usiokoteokote mwanamke ukampeleka kwako.
Uwe makini na Camera ya uliyelala naye..
Ukimwaga maji yako hakikisha yako salama..(dunia ina mengi hii vijana mkue sasa).

KUCHEPUKA NI GHARAMA UKITAKA UNAFUU NI RISK SANA, OTHERWISE CHAGUA UMPENDAYE MFUNGE PINGU MTAFUNANE MTAKAVYO, CHUMBANI, SEBULENI, JIKONI, BAFUNI, MZINGATIE LISHE BORA TU..
Aya ya mwisho ndio jambo la msingi zaidi. Uzinzi siyo poa
 
Mwamba nimekukubali sana, mwanaume lazima upitie vitu kama hivyo. Mimi nilishakamatwa namnaniliu mtu kwenye gari pale pale Corner bar kwenye parking, tena seat ya mbele ya dereva, na hiyo sehemu ilikuwa na kamwanga flani ka taa!! Tatizo nilikuwa tungi sana, aisee jamaa walinichukua mavideo na mapicha kibao. Mwisho wa siku niliwatoa 200k, wakaniachia tukiwa nje pale mabatini, and wakafuta na zile picha. Nilimind balaa, nikarudi tena Corner kuendelea kunywa, wakanikuta wakacheka sana, wakasema dogo wewe mtata sana, enzi hizo nilikuwa bwana mdogo nimetoka kumaliza chuo, wakanipiga mzinga niwape round kwani walikuwa na nguo za kiraia, nikapiga nao bia za kutosha. Tangu siku hiyo wakawa rafiki zangu.
 
Kama nakuona ulivyotoa macho ulipoambiwa mtapigwa picha na zitawekwa kwenye mitandao😂,usirudie tena,zinaa haijawahi kumuacha mtu salama...
 
Nilikuja Dar kwenye biashara fulani, mida ya jioni nikatafuta bodaboda nikamueleza sehemu ambayo ninaweza kwenda kupumzika na kupunguza msongo, akaniambia kuna sehemu Sinza panaitwa Kona Bar pamesheheni kila aina ya burudani hata kama biashara hazi kwenda vyema naweza kujifariji.

Tukaelekea mpaka Kona Bar aiseee niliona idadi kubwa sana ya warembo wakiwa katika hali ya ujasiriamiili, nilikaa nje kwa muda nikiwa napata chakula na kinywaji. Alipita dada mmoja nikashindwa kujizuia, nikamwita baada ya salamu hakutaka maneno mengi Bali alinipa bei ya huduma anazotoa, muda mfupi 20000 kulala 40000, nilienda naye kwa huduma ya muda mfupi akanionyesha gesti ambayo gharama zake ni shilingi elfu tano kwa muda mfupi, na nikakuta kuna msururu wa watu wanaingia na kutoka.

Tukapewa chumba Chetu tukaingia wakati naanza kufungua zipu nikasikia makelele chumba cha pili kama mtu alikuwa anapigwa nikashtuka kidogo, ndio nikagundua walikuwa ni Askari. Sikuweza kuendelea kufanya chochote, mlango wetu uligongwa kwa nguvu nikafungua akatokea mtu mwenye Miraba minne aliyevaa sare za Askari mwenye cheo cha mbavu tatu.

Nilifungwa pingu nikapelekwa kwenye gari aina ya Noah ambapo huko nikakuta kuna Askari pamoja wazinzi wengine wengi wamekamatwa. Cha kusikitisha ni kuwa kila mtu alikuwa amekamatwa na ushahidi yaani mwanaume na mwanamke ila mimi nilikuwa pekee yangu nikagundua Askari yule baada ya kunikabidhi kwenye Noah alirudi chumbani “kumalizana” na dada yule.

Baada ya muda tulianza kuelekea kituo cha polisi ambacho nilikitambua kwa jina la Mabatini, jamaa mmoja aliyevaa kiraia alisema tunaenda kupigwa picha kisha zinawekwa kwenye mitandao kauli hii ilizua vurugu kubwa na ukumbuke wanaume tulikuwa tumefungwa pingu, tulifika kituoni Majira ya saa kumi alfajiri ambapo hatukushushwa kwenye gari bali Askari yule aliyetukamata mwenye mbavu tatu ambaye nilimtambua kwa jina linalofanana na la Waziri Mkuu wa sasa alituambia kuwa tutoe laki kila mmoja, tuliweza kujitetea kila mmoja na uwezo wake wa ushawishi tukaachiwa ila wanawake wooote hatukujua walienda wapi.

Mwisho
Yaani ulilipia mshindo mmoja 20k kona bar?? Kweli bongo nyosso...
 
Mwamba nimekukubali sana, mwanaume lazima upitie vitu kama hivyo. Mimi nilishakamatwa namnaniliu mtu kwenye gari pale pale Corner bar kwenye parking, tena seat ya mbele ya dereva, na hiyo sehemu ilikuwa na kamwanga flani ka taa!! Tatizo nilikuwa tungi sana, aisee jamaa walinichukua mavideo na mapicha kibao. Mwisho wa siku niliwatoa 200k, wakaniachia tukiwa nje pale mabatini, and wakafuta na zile picha. Nilimind balaa, nikarudi tena Corner kuendelea kunywa, wakanikuta wakacheka sana, wakasema dogo wewe mtata sana, enzi hizo nilikuwa bwana mdogo nimetoka kumaliza chuo, wakanipiga mzinga niwape round kwani walikuwa na nguo za kiraia, nikapiga nao bia za kutosha. Tangu siku hiyo wakawa rafiki zangu.
Good ndio namna nzuri ya kudeal nao,baada ya hapo hawasumbui tena
 
Pole wewe Ni mshamba wa jiji hao Malaya elfu tano unapata, hafu wengi wa machangu wanajuana na Askari na kazi Ni kuwatoa hela wanaume then wanagawana. So acha uzinzi
,buku tano tu daaaah
 
Kisheria Polisi hawatakiwi kuingia chumba cha hoteli/ guest house bila kupata search warrant mahakamani.

Hapo sasa! Pilice anaingiaje chumba changu bila warant na mkt wa s.za mtaa! Nahata wakinikuta na dodo wananikamata kwa kosa lipi labda.
Tatizo ni ufara....! Police ni usarama wa raia nikiona police au defender nahisi niko sarama.
Tatizo ni ukiona gwanda mavi yanagonga chupi yanarudi . Eti laki2 weeee nimerogwa labda zabandia, mi nikiwapa ujue za bandia maana hawawezi chunguza rushwa.
 
Hiyo h
Pole wewe Ni mshamba wa jiji hao Malaya elfu tano unapata, hafu wengi wa machangu wanajuana na Askari na kazi Ni kuwatoa hela wanaume then wanagawana. So acha uzinzi
sidhani kama unapajua ambiance boom likiwa halijatoka wale wa taasisi jirani wanajisogeza hiyo bei uliyosema ni ya kimboka
 
Kisheria Polisi hawatakiwi kuingia chumba cha hoteli/ guest house bila kupata search warrant mahakamani.
Hapa bongo hio hawaijui

Polisi alieoshia Form iv atajulia wapi Sheria

Kuna "baadhi" ya Askari wamegeuza polisi Kama "lagal Gang "

Wanapush kwa namna wanavyotaka kisa tu wao Ni maaskari .

Wabadilike
 
Back
Top Bottom