Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma sekondari moja (Tabora Boys kwa miaka 6)

Pia Bangi Ilinisaidia pale nilipougua Sikio na Kuwekewa kwenye sikio na likapona.

Naomba watu ambao Wamewahi kuvuta watoe shuhuda zao hapa ila Siwashauri watu wavute Unga Bangi ni Salama zaidi.
 
nothing good to remember.. Niliitumia kwa mwaka mmoja, na hakuna faida yoyote niliyopata....

sana sana nilikuwa nafanya kazi bila break, nalima shamba eka moja kwa masaa 8... M-sure akanistukia hii speed sio ya kawaida, hapa hajui kama hata sigara navuta, je akijua bangi nachoma, si atanipiga pisto.. niaacha

Hapo ni bibi yangu alishaanza maneno maneno, huyu mtoto mbona anafanya kazi bila kuchoka,lazima anachoma dope.... na mdingi alivyoanza kutilia shaka, nikasarenda....almost a year nilikuvuta mmea...

Sio kitu kizuri kabisa
 
Mbona umetoa faida tayari.. Ungeendelea ungekuwa tajiri sana
 
Ilinisaidia sana kule kihangaiko mwaka fulani lakini baada ya hapo niliacha
 
Back
Top Bottom