Ushuhuda: Jinsi ninavyojenga nyumba ya ndoto yangu

Ushuhuda: Jinsi ninavyojenga nyumba ya ndoto yangu

Unadhani kila mtu hana kazi kama wewe. Watanzania na roho zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Humfahamu huyu jamaa, namfahamu vizuri personally ana nyumba yake ghorofa moja anaimalizia maeneo ya hapa Dar es salaam..

Anaweza kukupa ajira pia, sio kila mtu ni wa kumsema vibaya humu mtandaoni tunatofoutiana pakubwa sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema jenga kwa kudunduliza, lakini mara nyingi ujenzi wa namna hii una hatari ya kuwa wa gharama kubwa zaidi usipokuwa makini...

Yakupasa uwe na mafundi wale wale kuanzia mwanzo hadi mwisho...

Uwe wanunua vifaa kwa suppliers wale wale mwanzo mwisho...
 
Unapogwaya kuweka picha means unaogopa kuumbuka?
Hapana mkuu. Sio hivyo. I am just trying to mantain my anonymity here mkuu. Please understand me.
Nimewiwa tu ku share hizi details humu ndani kwa sababu mimi ni aina ya mtu ambae napenda sana ku share experiences zangu, naamini zinaweza kumsaidia mtu mmoja au wawili. Lakini ku share picha za nyumba ninayoishi humu JF, nadhani might put me into an unnecessary risk of blowing my identity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu humu ndan kuna ukakasi mwingi sana. Kwanza n idadi ya nondo, pili mirunda na mbao za slab hapa umetudanganya. Nilitegemea ukifikika kipande nione uhalisia wa material na jinsi slab inagharimu hasa kwenye formwork na nondo
 
Dr. Wansegamila,
Pole kwa kuweza kusimamia mradi hadi kuingia ndani. Kwa wenzetu walioendelea ulipaswa kuingia tuu mkataba wa kulipia nyumba kidogokidogo na uanze kuishi ndani from Day 1...hata hivyo kukosekana kwa hiyo huduma ya kukopesha nyumba kunafanya kila Mtanzania anayejitambua kuwa PROJECT MANAGER wa mradi wake wa makazi
Utamaduni wa kununua complete house kwa sisi wabongo sijajua kwa nn unakuwaga mgumu..Real estate sector bado aijafanikiwa.. nikisoma jamaa anavyopeleka Hizo cash site unajua alidhamiria hasa..Mimi ninavyopenda pesa izunguke kwenye Business..Nampa salute jamaa kwa kwa kutimiza ndoto zake..
 
Hapana mkuu. Sio hivyo. I am just trying to mantain my anonymity here mkuu. Please understand me.
Nimewiwa tu ku share hizi details humu ndani kwa sababu mimi ni aina ya mtu ambae napenda sana ku share experiences zangu, naamini zinaweza kumsaidia mtu mmoja au wawili. Lakini ku share picha za nyumba ninayoishi humu JF, nadhani might put me into an unnecessary risk of blowing my identity.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa Sana kwa hili na Kama kuna atakaebisha basi ni mbishi tu, jf Pana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu humu ndan kuna ukakasi mwingi sana. Kwanza n idadi ya nondo, pili mirunda na mbao za slab hapa umetudanganya. Nilitegemea ukifikika kipande nione uhalisia wa material na jinsi slab inagharimu hasa kwenye formwork na nondo
Unajua area ya slab?
Sijadanganya hata. Labda kama nimekosea. Hivi kwa nini hasa nidanganye mkuu? Hebu think about it. Why should i lie in this thread?
Inawezekana kweli, katika kurekodi kuna baadhi ya details hasa ya idadi za vifaa zilirekodiwa kimakosa; Kwa sababu tuliokua tunarekodi hizi taarifa ni mimi na mke wangu. Ila kitu ambacho nina uhakika nacho ni kiasi cha fedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu

Back
Top Bottom