Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Dar upatikanaji wa pesa pia ni mwepesi, ukipiga cha juu kila siku mbali na mshahara inaenda tu, mfano konda hela anayo baki nayo bila kumhusisha dereva wake na tajiri inatosha mifuko saba ya cement.technically
Tafadhali msome vizuri mdau,yeye yupo kama sikosei Mbeya wewe upo Bunju Dar es Salaam kule kanunua kokoto Scania Mende kwa 170K mpaka site hapo town ulipo wewe gari hiyo hiyo,ujazo huo huo wanaleta mpaka site 600K unaliona gap hilo?
Tofali standard Dar moja ni Tsh1,200/= ukichukua mzigo mkubwa wanakufanyia 1,000/=,ningeshauri tuepuke ku-compare gharama za ujenzi baina ya mkoa huu na mkoa huu ili kuepuka stress za baadae tukishakwama,nawajua watu wameuza mapagale yao yakiwa yamesimama nguzo za ghorofa walizojenga kwa gharama ya kujenga nyumba ya kawaida ya chini nzuri tu na kuhamia wangeshahamia.
Ni ushauri tu brother.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkoani utakomaa na Mshahara tu.