Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,216
- 3,117
Hongera
Kipendacho roho hula nyama mbichi mkuu.
Pia, inategemea na how you look at it. Kuna waliotumia zaidi ya hiyo hela kujenga nyumba ya kawaida tu ambayo si gorofa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hongera sanaa mzee kwa kujitahidi kujenga "kakibanda" kako.
Ila kwa mishahara minono mnayolipana huko yuueni[emoji849] sishangai ulivyoweza kujenga fasta fasta namba hiyo!!
Anyway,hongera tena kwa Mara nyingine clap clap[emoji122][emoji122]
Hata mimi mbona ni mtu wa kawaida sana mkuu?
Kitu ambacho nimejifunza ni kwamba unatakiwa kwanza kuwa na nia dhabiti, pili kuwa na constant flow ya kiasi fulani cha fedha kila baada ya interval fulani (bila kujali ni shilingi ngapi).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana Daktari kwa kutimiza ndoto yako.
Kilichobaki sasa ni kuishi kwa wema na wale wote wanaokuzunguka, mafanikio yako isiwe ni fimbo ya kuwaadhibu wengine
Ni kama mleta uzi, kati ya vitu hajawahi kutamani kujenga ni nyumba ya chini. Ndiyo maana ameiita ndoto yake.
Kama zikiwa kama hizi naunga mkono...au unaonaje hizoo...Labda!mm napenda sana tu!jion unapanda zako kwenda kulala...unajiachia ha kwenye balcony👯
Mzeee kuna vibopa humu hatarreee mshahara wako yeye kwake ndo per diem
Dokta hata huko dunia ya kwanza kuna vicoba?Dr. Wansegamila tuwekee picha ya finishing ya ndani tu.
Kwa mkakati wa kununua kiwanja nilianza kuweka 500,000 kila mwezi kwenye chama chetu cha kukopa. Nilipopata kiwanja sehemu niliyoipenda chama kiliongeza akifa yangu.
Kama zikiwa kama hizi naunga mkono...au unaonaje hizoo...
finishng kwa jinsi nilivyomwelewa!Dr. Wansegamila tuwekee picha ya finishing ya ndani tu.
Kwa mkakati wa kununua kiwanja nilianza kuweka 500,000 kila mwezi kwenye chama chetu cha kukopa. Nilipopata kiwanja sehemu niliyoipenda chama kiliongeza akifa yangu.
Sawa una-mantain huo u-anonymity kwa miaka miwili million 64.4! tafadhali julisha na means , mkopo au uliwekeza tu? au ile milioni 32 ndio ulikopa? Maelezzo tafadhali!Kwa bahati mbaya sana, sitaweza kuweka picha za hiyo nyumba ili ku mantaina anonymity yangu hapa JF mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Wansegamila tuwekee picha ya finishing ya ndani tu.
Kwa mkakati wa kununua kiwanja nilianza kuweka 500,000 kila mwezi kwenye chama chetu cha kukopa. Nilipopata kiwanja sehemu niliyoipenda chama kiliongeza akiba yangu.
Hujatutendea haki,iweke ili tuvutiwe zaidi na kuamini haya mahesabu kama ni realKwa bahati mbaya sana, sitaweza kuweka picha za hiyo nyumba ili ku mantaina anonymity yangu hapa JF mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app