Ushuhuda: Aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

Ushuhuda: Aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

Ndio mjifunze kutulia sio kila mwanamke wa kumtumia tu kama tissue!
at least kafanya uungwana if it were me! after all those years I would have changed your name! DAYS OF MISTAKES ARE OVER.Jambo linalokuudhi usimfanyie mwenzio.
 
The opposite is also true. Nyinyi wanawake ni viumbe katili sana. Hivi kumfanya mtoto wa mwenzio impotent ndio nini? Kama mtu amekutenda na mpaka kakuzalisha mbona sheria zinakulinda? Si utumie sheria tena utapata na faida za kiuchumi na utasecure future ya mwanao, sasa kumfanya mtu impotent ndo unafaidika nini? Wanawake ni viumbe katili vilevile tena kuliko hata wanaume.

The End shall Justify the Meaning!
 

Attachments

  • 1430348757324.jpg
    1430348757324.jpg
    40.1 KB · Views: 171
Ndio mjifunze kutulia sio kila mwanamke wa kumtumia tu kama tissue!
at least kafanya uungwana if it were me! after all those years I would have changed your name! DAYS OF MISTAKES ARE OVER.Jambo linalokuudhi usimfanyie mwenzio.
Changed his name huh! Would you live with the guilt?
 
Dada tembea uone. Siku ukifika Tabora na ukayajua ya huko hutamlaumu huyu kaka. Sisi ni waafrika na tuna utamaduni wetu. Kuukana ni kujikana "dawa kwenye mapenzi zipo".
Mimi siamini masuala hayo na ajilaumu mwenyewe kwa matendo yake.Kwanini ulete mambo superstitious bana wakati mtu kavuruga akiwa na faham zake!!
 
Mimi siamini masuala hayo na ajilaumu mwenyewe kwa matendo yake.Kwanini ulete mambo superstitious bana wakati mtu kavuruga akiwa na faham zake!!
Umenena vyema "Mimi siamini". Kutokuamini kwako hakuondoi ukweli wa jambo hili. Hata huko Israel wapo wanaongojea ujio wa Messiah. Wanasema Yesu mnazareth sie yeye alietabiliwa na vitabu vya manabii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom