Ushosti kazi....huyu normal kweli????

we we weeeee kimbiza haraka sana watu design kama huyo walinikost saaana..biidada wala usisubirie kuchwe hakuna jema hapo!
 
huyo shosti tupa kule mwisho wa siku ataanza kukuendea kwa waganga shauri ya wivu,,, mamie anza kuweka limits upole ukizidi matatizo!!!!!!!!!
 
Aisee mimi angekuwa rafiki yangu ningeshampa yake ya kwenda kulalia na nisingembakiza hata kiduchu!!!Huyo inabidi umkatie mawasiliano taratibu,na usimshirikishe katika masuala yako!!
 
Mambo ya ushoga yalishanishinda siku nyingi, niko confortable. Maana no body knows my personal issues, hivyo no comparisons, no gossips etc

Usirogwe kumwambia mambo yako binafsi, yeye ndio atakuwa informer.
 
Kasema anamtumia picha sio anaweka kwenye profile nenda kasome tena topic kwa umakini!!!
 
Achana nae kabisa.dalili ya mvua ni mawingu.atakuja akutende ukajuta kuzaliwa.it happened to me.
 

Mama take a chill pill n relax unaelekea hujui
hata watsapp ni nini unaongea tu...mi nimesema ananitumia watsap mind you watsap sio kama fb ko kwangu mi naona mtu kunitumia kila anachofanya ni ushamba sio unaongea had I unarusha mate watu waone umeongea!!!
Mshahara huongezwi kama unavyoomba uongezwe hela ya Saloon na bwana ako kama umesoma na umeongeza kiwango lazima ulete vyeti ku-prove kweli umesoma na umepata cheti.Ingekua mtu anaongezwa mshahara akisema tu amesoma basi watu wangeongezwa kila siku!!
You might think you don't need this advice BUT just take it for future use:Kama hujui kinachojadiliwa au huelewi uliza kwanza na sio kukurupuka coz utakuja kuumbuka!Ni hayo tu mkeyamasai.
 
Kasema anamtumia picha sio anaweka kwenye profile nenda kasome tena topic kwa umakini!!!

mimi49 ....I'm blowing you so many kisses for saving the day love...maana huyu mkeyamasai hata haelewi kulia wala kushoto ye kaja tu anaongea hadi mashuka yanamdondoka,ndo wale akiambiwa mbona ulikua watsap dakika zilizopita anasema mi nimeshinda ndani naumwa sijaenda huko watsap
 
Achana nae mshamba wa maisha huyo. Ushoga, ushoga, kuna ushoga dunia ya sasa. Kama una mama au dada hao ndo shoga zako.
Watu wa kuelewana nao kawaida tu wawepo lkn si huyo wa kumkaribisha mpk kwako.

Mimi na wenzangu wa kazini tunaendeana kwa sababu maalum tu, tena wengi tu sijui wala hawajui ninakokaa.
 
Wewe kama mimi shost nina rafiki mmoja tu and i mean the only one ..She never lets me down for sure wengine ni salam na kwaheri!Hao wengine ninakutana nao huko nje na naachana nao huko huko!!!Maybe it is because i am a very private person!!!Isitoshe kwa mtazamo wangu mtu mwenye marafiki msururu hayupo real yaani anajibadilisha tabia ili a fit in na kila mtu kwasababu women are very complicated creatures and i know myself not many people can tolerate me!!
 
Umeshajua tatizo basi huna budi kulikimbia rafki si lazima uwe nae na ukiwa nae si lazima awe wa kike,wakiume ni wazur zaidi.
To me hubby is my best friend
mpotezee huyo dada atajiongeza mwenyewe,kazini cheka na wote ila si kukaribishana mpaka nyumbani,huyo tabia hamuendani hamuwezi kuwa marafiki
 
Achana nae ushost wa ukubwani tena wasichana walivyowambea hapana kwakwel
 
Kweli mimi niko tofauti and i loooove being me.

Wewe ndo mwenye wivu na unajistukia. Infact you are just being a woman! Huyo dada anakutumia picha akiwa na bf wake, na wewe amekuja kwako anapiga picha kila mahali. Kwa nini usidhani kama anapenda sana kupiga picha na sio kama anakudolishia bf wake? Au wewe ndo una wivu na hicho kimoja tu alicho 'kuzidi' kuwa hauna bf na yeye anae?

Unaona fahari una nyumba nzima ya kushare na shosti mwingine (kwangu ni bora niwe na chumba kimoja uswazi, kuliko kushare nyumba masaki), una zaidi ya degree, umemzidi mshahara na haujaongelea kama amekuzidi uzuri (manake im sure ungeshataja).

Hebu jikalie mbali nae manake anakutesa. Urafiki hauna mashindano. Mnasaidiana kimawazo na hata kiuchumi kila mmoja asogee mbele. Mwenzio akikutangulia kwenye hili ama lile haikupo wasiwasi.

Cc Kongosho, AshaDii, Mwali
 
Nikisoma comments za wadada humu nashangaa kabisa. How come me and my galz shares all our goods and our bads? Tena mmoja akipata promo tunaitana kuwa kuna breaking newz na tunaenda kugonga cheerz na kufurahi? Ikitokea down fall tunaitana na kupeana moyo? Nina rafiki alijenga boonge la jumba baada ya kuseparate na mumewe, siku anahamia tukawnda kugonga cheers hapo. Siku amepata divorce tukaenda na tukaamua kucelebrate manake it was for good reasons. Makasheshe ya dating tunakutana, we call tje bastardd names she feels good na tunaendelea na maisha. Why cant women love each other no matter what?!
 

You are entitled to opinion ko Asante kwa kushiriki kwenye uzi huu!!
 
Last edited by a moderator:
Dada achana na mashost.... Sema sina.nafasi ningekusimulia visa vya mashost. Hutokaa uwe na mashost wa kijinga!!!
 
Ha ha haa You are both abnormal, but your abnormalies are like my abnormalies and two types of simillar abnormalies make up a normal .........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…