Haya mambo yapo toka ianze kuwepo dhambi unachotakiwa wewe jilinde usitende dhambi sio kuwaombea laana. Hawa hawawezi kwisha milele, hadi dhambi itakapokwisha. Wanafiki nyie mnaangalia ushoga kama dhambi kuu, mnaacha ulevi, sigara, uzinzi, uasherati, wizi, uuaji, chuki, fitina nk pumbavu kabisa. Nawauliza hivi mnaijua raha ya kufilwa, kama huijui nyamaza, ni sawa sawa na ukiisha onja cocaine, bora mambo haya usiyajue wewe. Hivi hujiulizi dume zima linakuja hadharani na kutangaza lina*****, halioni aibu, sijui kuna nini katika starehe hiyo.