Ushoga unaanzaga hivihivi

Ushoga unaanzaga hivihivi

Mingine inavaa hadi sketi bila haya eti fashion
 
Aisee nilikuwa MOTOCHINI mi nilifikiri ni demu kumbe mtoto wa kiume INAUMA

Da! hapo sijui anajisikiaje? minaona kama yeye ndie yupo uchi taabu inakuja yeye mwanaume, huyu unakuta eti wazazi wana jiona wenye bahati kwakuwa na mtoto mwanamitindo
 
Last edited by a moderator:
10474804_624103507733915_494479137013747535_n.jpg

Huuyuu
 
Daaaah God Forbid mshana Jr hebu sema neno hapo maana daah

Hapa alistahili akamatwe avuliwe kwanza hizo nguo acharazwe viboko kadha kisha aambiwe asirudie tena yeye ni mtoto wa kiume na mzazi ajaye
 
Unaanza kuigiza kama mwanamke,kimavazi na baadaye utalilia haki ya kufanya kama wanavyofanya wanawake!

Siku hizi malezi ya mtoto wa kiume yamekuwa na changamoto nyingi na kwakweli kama mzazi lazima ufanye chekup za kushtukiza kwenye chumba chake na vitu vyake vingine ikiwemo marafiki na sehemu anazopenda kwenda
 
Watoto wanaelekea kubaya

Kama matangazo ya kupiga vita malaria, mauaji ya albino nk inabidi kama Taifa sasa tulitolee kutengeneza matangazo yanayoonyesha madhara ya ushoga na tuyasambaze kila mahali
Wazazi wenye watoto wa kiume under 20 watakuwa wananielewa vema
 
Siku hizi malezi ya mtoto wa kiume yamekuwa na changamoto nyingi na kwakweli kama mzazi lazima ufanye chekup za kushtukiza kwenye chumba chake na vitu vyake vingine ikiwemo marafiki na sehemu anazopenda kwenda

Kuna issue ya single parent hapa...hawa dada zetu ambao wakipata mbegu nzuri sehemu wanazaa kisha jukumu la malezi linakuwa lake....mtoto wa kiume atafatana na mama si sokoni si saluni na kwenye kusutana na mashoga zake...na daily mtoto wa kiume anasifiwa kakatika shingo kama mama yake mara anatikisa mkia kama mama unategemea nini katika future ya huyu mtoto!
 
Kweli kweli kweli kabisa na kwakweli mashoga wengi wako mijini sio kule vijijini ambako tunajuana fika! Tuandike tu kupoza machungu na kuelezea hisia zetu lakini hili tatizo ni very complicated
 
Kitu kibaya kabisa na cha kukatisha tamaa mno ni kwamba mataifa tajiri yanaupigia na kuushabikia ushoga kwa kiwango ambacho kwao wameshahalalisha na wanatumia kama fimbo ya kuadhibu nchi maskini kwa kuzinyima misaada kama zikipinga ushoga INAUMA MNO
 
Kweli kweli kweli kabisa na kwakweli mashoga wengi wako mijini sio kule vijijini ambako tunajuana fika! Tuandike tu kupoza machungu na kuelezea hisia zetu lakini hili tatizo ni very complicated

Frankly ndugu Mshana mimi sio mwendaji mzuri wa kanisani maana watumishi wenyewe ni hawa kina Gwajima ila nipatapo wasaa wa kumwomba Mola wangu huwa namwomba sana aepushe laana hii ya ushoga kwenye kizazi changu...hata kizazi cha kumi baada ya mimi laana hii isiingie! Ni bora kuasili mtoto kuliko kuzaa wako of whom awe shoga! Ni mara kumi awe hata mvuta bangi ila sio hili!
 
Back
Top Bottom