Ushoga unaanzaga hivihivi

Ushoga unaanzaga hivihivi

Frankly ndugu Mshana mimi sio mwendaji mzuri wa kanisani maana watumishi wenyewe ni hawa kina Gwajima ila nipatapo wasaa wa kumwomba Mola wangu huwa namwomba sana aepushe laana hii ya ushoga kwenye kizazi changu...hata kizazi cha kumi baada ya mimi laana hii isiingie! Ni bora kuasili mtoto kuliko kuzaa wako of whom awe shoga! Ni mara kumi awe hata mvuta bangi ila sio hili!

Dooo kwa hiyo mtoto wa kuasili ni bora awe shoga kuliko wa kwako wa kumzaa ??? Haya mkuu
 
ni mbongo huyo anaiga umagharibi

anaonekana mlaini sanap
kwanza hii staili ya kuvaa magauni sijui watu wameitoa wapi
unakuta mtu kavaa skin tight chini alafu juu ana mshati mrefu unafika hadi magotini
hiyo hata diamond na ommy dimpoz wanapenda sana hiyo styl sijui ina indicate nini
 
ndiio ushoga wenyewe huo...ila wenyewe wanaita fasheni
 
Yaah dalili ya mchicha mwiba huo hali hii haijahalalishwa kama nchi za ushenzini huko sijui itakuwaje maana wasivyo na haya mabaradhuli hawa! wana misemo hao mara ooh usenge majaaliwa kwa kweli kila mtu kwa imani yake akemee jambo hili wanamume tupo wachache kitakwimu kisha kunatokea maafriti wengine wanajivua swifa ya uanamume!
 
Back
Top Bottom