Sasa kubatizwa na kubadilishana majina kunakujaje hapa, fafanua tafadhali!
Kubalini tu kuwa Africa tumeshapoteza vitu vingi na vingine vya thamani zaidi hata ya huo ushoga.
Eti naomba kuuliza.
Kwanini nchi za magharibi zinalazimisha wengine wakubali ushoga na ndoa za jinsia moja?
Ni New World Order katika mikakati maalumu ya kupunguza idadi ya wanadamu:Eti naomba kuuliza.
Kwanini nchi za magharibi zinalazimisha wengine wakubali ushoga na ndoa za jinsia moja?
Ni New World Order katika mikakati maalumu ya kupunguza idadi ya wanadamu:
1-Ushoga na usagaji.
2-U-Feminism.
3-Kuziingiza nchi katika njaa na maradhi.
4-Vita.
5-Madawa ya kulevya n.k
Zote hizo ni katika njia za kuzuia ongezeko la binadamu.