wachangiaji wengine hapa ni soo......yani waachwe wale raha zao....ha ha ha hii kali.
watawachuzaje sasa?.au wataangalia kabang zao?,ni issue ngumu kwakweli,jitihada kubwa zinahitajika kunusulu kizazi na uigaji wa kila kitu ulaya.
wanajeshi haohao ndo wanaofanya hayo mambo
Jamani acheki kutania ushoga, , sio kipaji ni hali ya kuzaliwa.'ile ni shule ya wenye vipaji kwa hiyo kila mtu na kipaji chake hata ku.fi.rwa pia ni kipaji coz wengine hawawezi na hawana kipaji hiko asee...'
Jamani acheki kutania ushoga, , sio kipaji ni hali ya kuzaliwa.
hahahhahahaaa mkuu vp jamaa aliweka hizo picha huko rahatupu?Mkuu wewe ni member wa lile jukwaa letu sio? Tupia vipicha tuwili tutatu kule turahatupike
upo mkuu kama sikusomi siku hizi?sema tu cameroon kaka,usihangaike sana
Haki sawa kwa wote,waacheni watu wapate mambo wanayoyataka
aiseeeee babayangu naunga mkono hoja
Si wanajifanya 'waziri mkuu' wa nchi moja ya huko ulaya (ya kifalme) ambaye jina lake la ukoo lafanana na nchi moja ya Afrika magharibi.
una mtoto wa kiume ndugu?kama huna naomba uteme mate chini na kama unaye em mpeleke mtoto wako akapate haki sawa ya kuwa mke wa mwanaume mwenzie afu uje utupe matokeo yake.
Hata kama anaye lakiki yeye mwenyewe ni mliberali haitapunguza wala kuongeza cho chote.