Ushoga Makongo Sekondari

Ushoga Makongo Sekondari

Anayeweza kutibu hili suala ni Mungu pekee maana kizazi cha sasa kinaelekea kubaya sana. Kipindi cha nyuma nilikuwa siamini kuwa kuna uhusiano kati ya mume na mume(ushoga). Sasa katika kubishana, vijana wakijiweni wakaenda kuniletea video. Nilipo iangalia hiyo video nilikuta kuna jamaa yangu wa karibu akifanyiwa hako kamchezo na vijana wa kijiweni. Nilipo wauliza wale vijana kwa nini huwa wanafanya vile kwa jamaa. Wakaniambia yeye ndiye anaye watafuta na kuwapa hela ili waende kumfanyia hako kamchezo. Nilipo muuliza jamaa yangu. Sikuamini jibu alilonipa, alisema alianza hako kamchezo toka akiwa mtoto mdogo na hawazi kuacha maana na yeye ndiyo starehe yake. Ndugu zangu naomba tumuombe Mungu maana hili suala limekuwa kubwa mno na linazidi kukua kila siku. Naomba kila mmoja akumbuke kuomba kwa Mungu tuondokane na hili suala. Hiki ndiyo kipindi cha Sodoma na Gomola.
 
daaah, makongo yetu ya enzi zile will never be the same again. Makongo ya wabishi you'd never find ushoga ila kwa sasa naona mambo si mambo
 
kwa mwendo huu haina haja ya waziri wa elimu kujiuzulu!!
 
mkuu mimi mwenyew nimemaliza pale hako katabia kapo si wanafunzi hadi kuna mwalim flan ************** ni mjeshi pia niliskiaga ni shoga, ukiona physical appearance yake tu utamgundua ,inshort makongo imeharibika sasa hivi, mzee mwangasi upoo

Daaaaaaagh.......tanzaniaaaa eeeeeeh....nchi yanguu eeeeh
 
Njia nyingine ya family planning mkuu hii tabia ikiachwa iendelee binadam tutaisha
Nahisi badala ya kuwalinda mabinti sasa inabidi kuwalinda wavulana maana ni hatari sana
tutakua na Taifa gani la watu ambao sio wanawake wala sio wanaume watazaliana vipi ?
wataasili watoto kutoka wapi?
 
bwaana wasameehe maana hawajui watendalo ...R.I.P makongo kilichobaki n kuzka 2
 
gay+army1293496186.jpg
 
dah! inasikitisha sana na hao wanaume walio kamili kama mimi kwa nini wana wananiliu wenzao!!! siku hz mademu tele had buku unawapata au ndo wanajidanganya mashoga hawana ukimwi!!!
 
toa details washighulikiwe kwa maana ya Ustawi wa vijana na maadil yao...
then kuitaj details haimaanishi kwamba wataombwa kimapenzi..si kila aliepo jf ni he wengine ni she...achana na fikra mgando!
 
Back
Top Bottom