Ushoga Makongo Sekondari

Ushoga Makongo Sekondari

Wadau Salamu!

Kwa wale msiojua kumeibuka tabia ya ushoga hapa Makongo Sekondari (hasa wanafunzi tunaoishi bwenini/hostel).

Patron ndio kinara wa kamchezo haka maana ana mtu wake humu bwenini, zaidi akipewa rushwa kidogo huwaruhusu watu kwenda nje ya shule kurahaputika.

Wazazi fuatilieni watoto wenu waliopo bweni Makongo sec Dar es Salaam. Kijiwe kikubwa cha kuunganisha na maba.sha ni Saloon iliyopo karibu na ofisi za Sisiem Mwenge (Mabasi yanapoingilia).

Hapo ndo meeting point ya Wababa/wakaka wanaotafuta dogo dogo na wanafunzi wanaoganga njaa kwa kuuza 0655.
 
Nchi yetu ina maadui wawili wakubwa;
1.mateja
2.ushoga.

Vijana hawawezi kufanya kazi. Kijana.ameharibiwa na.ushoga hawezi hata kunyanyua kitu kizito hewa yote inatoka.

Zamani tulikuwa na maadui wakubwa watatu,ujinga,umaskini na maradhi.
Bila shaka u mzoefu. Tuungane kupinga vitendo hivi
 
Back
Top Bottom