jonathan18
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 201
- 94
vipi jonathan na wewe ni shoga au?
Ndio mimi shoga umejuaje?
Regards,
Jonathan.
vipi jonathan na wewe ni shoga au?
Ndio mimi shoga umejuaje?
Regards,
Jonathan.
Ushoga ni haramu katika shule zote sio za kijeshi tu.
Ushoga ni haramu humu nchini na siyo shuleni tu.
haki sawa kwa wote,waacheni watu wapate mambo wanayoyataka
watawachuzaje sasa?.au wataangalia kabang zao?,ni issue ngumu kwakweli,jitihada kubwa zinahitajika kunusulu kizazi na uigaji wa kila kitu ulaya.
Haki sawa kwa wote,waacheni watu wapate mambo wanayoyataka
Kuna uzi kule jukwaa la elimu kuwa baadhi ya wanafunzi pale makongo wanajihusisha na ushoga. Hii ni shule ya jeshi so inabid uchunguz ufanyike ili kugundua ukweli na wapewe adhabu kali kwani sheria inakataza.
Haki sawa kwa wote,waacheni watu wapate mambo wanayoyataka
yaani ndo umeishia hapo!?
Kufuatilia wale suspects then kuwapa adhabu kali kwani sheria zipo.